Vifurushi vya Intaneti: Asante Rais Samia kwa Kusikia Kilio Chetu

Kuna ule mfumo wa kutengeneza tatizo alafu unalitatua wewe mwenyewe ili uonekane mtetezi wa wanyonge. Hiki ndio kinacho tokea hapa.

Wewe unamwambia rais asante je unadhani waziri anaweza kufanya kitu bila rais kujua? Yani unataka kutuaminisha kwamba mpaka wanatangaza rais alikua hajui?

Sasa kwann unamwambia asante wakati yeye ndiye aliye tengeneza tatizo?
 
Unatengeneza tatizo, unalisolve, unasifiwa.

Sasa hivi habari ni SERIKALI YASIKIA KILIO CHA WANYONGE
 
Kumbe walifanya makusudi kukomoa. Awamu ya sita bado ana mentality za ki Jiwe Jiwe tu za kujimwambafy. Mama hii kenge ni ya kutumbua isikuharibie image ya Serikali unayo iongoza.
hahahahah ngoja tuone kama itapigwa za pua
 
Tunashukuru tu licha ya kutuchezea hawa watu
 
Big up to Her Excellency Mrs President Samia Suluhu Hassan for her prompt action. I agree with her motto, " ZEGE HALILALI" .
Kwa style hii ya mama tunaanza kuona mwanga mbele....!
Ushauri wangu kwa Mhe. Bi. Rais, she must move a step further. TCRA LAZIMA IMULIKWE kama alivofanya kwa TPA hasa kwa Ofisi ya DG wa TCRA......!!! Watz tumeibiwa sana kwenye mitandao both Voice and Data.
 
Exactly kabisa mkuu.
Mama anacho fanya ni hatari
 
Exactly kabisa mkuu.
4Mama anacho fanya ni hatari
Atuondolee vimelea vyote vilivoachwa na Hayati Jiwe. Kuna ma DG waliteuliwe kirafiki, kikabila na kindugu kiasi kwamba hizo taasisi za Serikali ni kama mali zao! They can do anything and nobody questions. It's a high time now to question them why this or that!!! 5 years is quite enough for them to step down....😎😎
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…