Vifurushi vya Intaneti: Asante Rais Samia kwa Kusikia Kilio Chetu

Ttcl wamerudisha sema mtandao wao uko down sana ila bora
Katika mashirika ambayo Rais Sameer anatakiwa ayamulike TTCL ni mojawapo!!
Mkurugenzi TTCL ni boya tu hana mikakati hana lolote kuendeleza TTCL mali ya Serikali zaidi ya ubabaishaji.
Mtandao wao Ni dhaifu, hauna ubora na coverage ni mbaya kuliko! Voucher zenyewe kupatikana mpaka umulike kwa Tochi kuanzia Dar Hadi Mikoani....!!!TTCL Ni hovyo kabisa!
TTCL ikiwa ni mali ya Serikali sielewi kwanini na wao walipandisha Bei kama hayo makampuni mengine ambayo yako kibiashara zaidi k.m. Vodacom, Airtel, Tigo na Halotel?
Yaani huyu Mkurugenzi imebidi Serikali iingilie Kati ndiyo apunguze Bei.....!!! Je, hakujua kwamba TTCL ni Mali ya Watanzania?
 
Kwa maana hiyo hata punguzo lao halina manufaa yoyote kwa Watz maana mtandao wao sehemu kubwa ni Edge(2G)!!!Ni ubabaishaji na wizi mtupu!!
kwa kweli hawa kwenye issue ya speed generation wapo ovyo
 
kwa kweli hawa kwenye issue ya speed generation wapo ovyo

TTCL bado kabisa pamoja na kuaminiwa na Serikali kuendesha Mkongo wa Taifa( National ICT Fiber).
Tatizo ni DG aliyeko pale ambaye ni Mwanasiasa tu aliye pachikwa na Jiwe na hajui lolote kuhusu Teknolojia ya Mawasiliano!!! Ndo maana ubabaishaji ni mkubwa sana TTCL!!! Ili kuinusuru TTCL huyu DG inabidi apumzishwe tu hakuna namna!
 
Walio weka madarakani na jiwe wanakazi
 
They've to follow suit to Eng. Kakoko a.k.a. Kigogo wa TPA...!!!!
Hahahahaahahahhahahahaahahahhahaahahhahahahahahaahahahahhahahaahhahahaahahaahhahahahahaahhahaahahhahahhhaahhaahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahhahahahaahhahahahahahhahahahahahahahhahahahahahahhahahahahahhahahhahafalaweehahahahahhaahhahahahahahaahahhahahaha exactly
 
Haina maana tunamchukia ila kama taifa tukimuona Niki kama jiniasi basi itatuchukua miaka zaidi ya Elfu moja kurusha roketi anga za mbali .

Tuendelee kuwekeza zaidi .

Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Wabongo nguvu tunatotumia kudai gharama za bundle kupanda,tungeelekeza pia kwenye mafuta,sukari,mchele,umeme kupanda tungekuwa mbali sana

Ova
 

Nakusalimu Mkuu
 
Hapa tulishinda nyumbani sasa tumepigwa Ugenini. Tumezungukwa yaani... kwenye soka hii tunaiita "Aggregate Win/ faida ya magoli ya ugenini"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…