Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
31,559
Reaction score
42,179
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.

Airtel SME.


Tigo postpaid


Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.

Kama huna details hapo juu wapo mawakala wanaunga bila Tin no, kwenye huu uzi wapo pia, ila kuwa makini na matapeli.

Update
Kwa wanaojiweza vipo pia vifurushi vya Unlimited vya 5G kwa sasa vinapatikana Airtel na Vodacom kwa urahisi.

Vodacom
-kasi internet inaanzia 50,000 kwa mwezi, unatumia around GB 20 speed inashuka ila inabaki unlimited. Sio kifurushi kibaya kama umekosa internet nyengine.

-Supakasi hii inaanzia 115,000 ni unlimited. Sema inahitaji tin no na leseni

Airtel
Wana unlimited kama Vodacom ila hii inaanzia 70,000 kwa mwezi na instalation fee ni 200,000 malipo ya mara moja, uzuri wa hii mtu yoyote anaungwa sio lazima uwe mfanyabiashara.
 
pia kwenye voda kuna 51gb kwa 50,000 mwezi, 10gb kwa 10,000 kwa wiki, vya siku ni 3gb kwa 2,000 , 800mb kwa 1000 na 300mb kwa miatano. unabonyeza *149*03#. endelea kubonyeza hata mara 20 hadi upate kifurushi unachokitaka. hivi ndiyo natumia kupakua movies na kucheki mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…