Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
Halotel wameondoa bonus kwenye vifurushi vya intaneti kwa laini zote.Mkuu hiki kifurushi nilifanikiwa kupata laini ya community na nikaanza kujiunga na kuendelea kula maisha lakini sasa naona siku hizi wamenifutia zile mb 2521 kila nikijiunga napewa mb 985 sijui shida nini au kuna masharti nilikiuka?
Wanafuata maagizo kutoka juu, kwa rate mpya ya 245MB kwa 500/=. Rate hii huperuzi chochote cha kueleweka.
Mwaka huu wananchi kima cha chini watachakaa. Ni mwendo wa kuminywa hadi mavi yatoke.