Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

IMG_5378.jpeg
 
Kama unaongelea kifurushi. Hakipo 70k 25mbps ipo kwenye fiber tu
Walikua nacho pia 5G 70K unapata 10mbps.

Hata sasa hivi nimejaribu kwenye menu yao ya kawaida kipo. So hio Subsidized router itakua haiji na hicho kifurushi.
 
mambo ni fireeee bado naona internet zinazidi kushuka bei tu....mimi natumia hawa net solution fiber unlimited.....bei ilikuwa 70k 20mbps now nimetumiwa email imekuwa 20mbps 50k ....jamani endeleni kushindana izidi kushuka mpaka unlimited tununue kwa 20k,,
 

Attachments

  • Screenshot_20250304_160738_com.google.android.gm.jpg
    Screenshot_20250304_160738_com.google.android.gm.jpg
    261.3 KB · Views: 1
Hapo unakua umepigwa 😂 kwa hiyo hiyo 5k unapata 7.8GB wiki 2 kuna lain za Halotel zinaitwa community
2k 3GB wiki
5k 7.8GB wiki 2
10k 15.2GB Mwezi
kwahyo ukitoa 5K jamaa anakutumia 5GB anabak na 2.8GB na hela yake inakua imerud sa kwa nn na ww usisajili hiyo line(Halotel community )uwe independent usi depend kwake hizo lain zipo mtaani tu
Mkuu hiki kifurushi nilifanikiwa kupata laini ya community na nikaanza kujiunga na kuendelea kula maisha lakini sasa naona siku hizi wamenifutia zile mb 2521 kila nikijiunga napewa mb 985 sijui shida nini au kuna masharti nilikiuka?
 
Back
Top Bottom