Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

JIBU NI HAPANA UO JAMAA ANAPOTOSHA AKITAKA KUONA KUA SIO UNLIMITE AJARIBU KUINGIA TORRENT KU DOWNLOAD MIZIGO
Nashinda youtu.be mda mwingi na haikatiki kwa mawazo yako youtube ukiingia kila siku kwa masaa zaudi ya ma4 hiyo siyo unlimited
 
Uko sahihi lakini hii si ndo unlimited au
 
Hii ndo Tanzania mkuu hawataki nasi tuwe huru wala tuenjoy internet yenye kasi hawataki kuona tuko kama nchi zingine zinazoenjoy sjui tz tumerongwa na nani kila kitu hovyooo. [emoji32][emoji32]
Hivi unlimited huwa inamaanisha nini kwenye vifurushi?
Data au speed?

Huu upuuzi wa kuambiwa ulimited wiki kumbe wamekulimit speed
Movie ya 1Gb unadownload siku 3
 
Mkuu umemaliza mchezo aisee hongera kwa ufafanuzi naomba kufahamu hiyo internet ya buree maana vyuma zimekaza sanaa mpaka kutu
 
Aaaahh kumbe!!
Kuna apps za wifi maps zipo store download nyingi zinaonesha location za hizo spot, ila migahawa maarufu mingi wanaweka Raha spot, utakuta kibango nje wanaandika.
 
Hiyo browser ya kisasa ni ipi?? Itaje tuitafute
Chrome ama Firefox version mpya za karibuni, na Kama ni Firefox better download night build kisha type kwenye address bar pale neno about:config Halafu search neno AV1 Halafu sitakuja result mbili zote eka true.

Kwa chrome huna haja kufanya hivyo.

Then set chrome yako ama Firefox yako kwenye desktop mode kisha tembelea hii URL


Ni lazima uwe kwenye desktop mode maana haifunguki kwenye version ya simu.

Then chini set always prefer AV1


Ukimaliza Hapo unapoplay video YouTube click zile dots tatu chagua playback setting kisha chagua 360p,

AV1 ni codecs mpya zinazokuwezesha kuplay quality kubwa kwa speed Ndogo ya internet.
 
Hii ndo Tanzania mkuu hawataki nasi tuwe huru wala tuenjoy internet yenye kasi hawataki kuona tuko kama nchi zingine zinazoenjoy sjui tz tumerongwa na nani kila kitu hovyooo. [emoji32][emoji32]
Mkuu ni balaa
Nilinunua unlimited wiki ya voda kwa minajili ya kudownload series nzima ya game of throne
Aiseee hadi wiki inaisha niliambulia episode kadhaa tu za season 1

Sasa hivi nikitaka kudownload vitu vizito nageuka popo na night bundle
 
Nimejaribu kwa chrome desktop version inagoma
 
Ina maana kwa app ya YouTube haitokubali sio?
Je ukichagua desktop version kwenye simu inakubali?
 
Ina maana kwa app ya YouTube haitokubali sio?
Je ukichagua desktop version kwenye simu inakubali?
Nimejaribu YouTube Go 360p haikubali.

Ndio browser za simu Zina option kudisplay desktop version, sema ukimaliza kuset Rudi mobile version.
 
Halotel kifurushi cha chuo kwa wiki
Kutoka mb500 hadi mb250 na dk

Ishakua tabu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…