Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Na wanaitumia hii sana ili watu wanunue hizo laini za 4G...ukienda haloshop ukiwaelezea hii ishu wanakwambia chukua laini ya 4G😂
 
Hivi kuna mtu anatumia Halotel royal kwa speed ile ile waliyoahidi yaani 64Kb/sec ?....Maana hii ni week ya pili sasa speed haizid 18Kb/sec
Si peke yako mkuu ukienda hata page zao za social media haya ndio malalamiko ya kila mtu..
Hiyo 18kbs unaishia kuchat WhatsApp tu!
 
Halotel nilimuona mkombozi lakini sasa namuona mdokozi.
Hivi kuna mtu anatumia Halotel royal kwa speed ile ile waliyoahidi yaani 64Kb/sec ?....Maana hii ni week ya pili sasa speed haizid 18Kb/sec
 
Hata ukibadili laini iwe ya 4G speed haiongezeki, najionea hapa kupitia laini yangu inasoma LTE lakini speed hata kb16 haizidi. Kapicha kadogo eti kana load masaa, Youtube haifungui video.
Na wanaitumia hii sana ili watu wanunue hizo laini za 4G...ukienda haloshop ukiwaelezea hii ishu wanakwambia chukua laini ya 4G[emoji23]
 
Hata ukibadili laini iwe ya 4G speed haiongezeki, najionea hapa kupitia laini yangu inasoma LTE lakini speed hata kb16 haizidi. Kapicha madogo eti kana load masaa, Youtube haifungui video.
Yeah hilo nilishaliona kitambo....royal bando imekuwa hivyo sana ilhali kwa wengine ndo ilikuwa kimbilio letu
 
lakini mkuu hata kwa hii ya kawaida si unaweza kushusha resoltn??
 
lakini mkuu hata kwa hii ya kawaida si unaweza kushusha resoltn??
Unaweza mkuu ila mtumiaji wa kawaida mara nyingi hafahamu haya mambo, mfano ukienda habari na hoja mchanganyiko utasikia kelele nyingi za kuibiwa MB toka mitandao ya simu yenye 4g, hii inatokana na website kama youtube kukupa quality kutokana na speed ya internet. Video fupi ya 4k inakomba GB nzima ndani ya dakika chache tu. Ila ukiwa na youtube go kabla ya kuplay video wanakuuliza quality unayotaka na mb zitakazoenda ukiangalia hio video.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka maana.mtu anakurupuka na video ya kiba 1080,akitoka hapo anakaa insta dakika 20 kwa kasi ya 4g.halafu anashangaa gb moja imeenda wapi?
 
Hakuna youtube nzuri kama youtube vanced sifa zake
1.no advertisement.
2.unaweza lock quality na uka play videos yoyote kwa hiyo hiyo labda u uchange mwenyewe mfano mimi nimelock 240p.
3.ina themes za kutosha .
4.other advanced settings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…