Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,621
Mkuu kama umetest mitandao yote hata ukinunUA Router haitasaidia kitu mambo yatakuwa yale yale, unless hio router unaenda kuifinga nje ama eneo kwenye network nzuri.Habari Mkuu naomba ushauri
Natumia redmi note 7 kama chanzo changu kikuu cha Internet ,
huku nilipo (Kigamboni) zaidi ya voda karibia mitandao yote 4G zao ni za kusuasua mno
Sasa nilifikiria kuagiza router, naomba uniambie ni specs gani muhimu za kuzingatia ili kupata router stable itakayohimili mikiki ya mitandao ya TZ
AU kama kuna chombo kinachoboost 4g kwenye Smartphone unaweza nitajia tafadhali
Zaidi nategemea ushauri na mapendekezo yako mkuu, maana voda vifurushi vyao vinanifirisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama umetest mitandao yote hata ukinunUA Router haitasaidia kitu mambo yatakuwa yale yale, unless hio router unaenda kuifinga nje ama eneo kwenye network nzuri.
Umejaribu halotel 4g pia haikamati?
Halotel kwa pesa hiyo kwa mwezi unapata 15GB unajiunga kutumia halopesaWakuu mi natumia voda ila vifurushi vya bando in bei kweli mb200 kwa 1000 yaani mda mfupi tu kimeisha mtandao gani nitaweza kupata kifurushi cha mwezi kwa 10000 chenye GB angalau hata tano na spidi nzuri nihamie maana voda nadhani wananikomoa
Sent using Jamii Forums mobile app
LHALOTEL na mitandao mingine 4G Zinakwamakwama sana ila naona VODA ndo inanyooka
Naomba unisaidie Specs za kuzingatiwa nnapochagua router itakayohimili band za mitandao ya kibongo
Sent using Jamii Forums mobile app
HALOTEL na mitandao mingine 4G Zinakwamakwama sana ila naona VODA ndo inanyooka
Naomba unisaidie Specs za kuzingatiwa nnapochagua router itakayohimili band za mitandao ya kibongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka natumia samsung grandprime plus je hii nikitumia 3g ya halotell naweza update window yang. Kwa kile kifurushi cha usiku park. Naitumia hii sm kufanya tethering kwa usv.L
1. Unatakiwa uangalie band, Kwa Tanzania usitegemee tu mtandao mmoja hakikisha ina band za 4g za mitandao yote. Band zenyewe ni
800, 1800, 2300 na 2600, pia nimewahi ona screenshot ya mtu band 2100.
2. Iwe na Lte zote ukikosa kabisa angalau lte advance na mtandao kama Halotel unafaidika na mimo una 2xMimo na ukiwa na kifaa cha kisasa nimewahi pata peak speed hadi 200mbps na sustainable speed hadi 120mbps.
Hii Mimo ni ule uwezo wa simu ama router kupewa signal na mnara zaidi ya mmoja. Hivyo unakuta minara miwili inakupa signal kwa pamoja na kusababisha speed iongezeke.
Njia rahisi ya kutofautisha baina ya lte ya kawaida na lte advance unaangalia speed ukiona imeandikwa 150mbps ujue hio ni lte ya zamani, lte advance inaanzia 300mbps kuendelea zipo hadi za 2GBps ila bei zake ndefu.
3. Pia angalia mambo mengine kama aina ya wifi, wifi ya kisasa zaidi inaitwa wifi 6 aka 802.11ax pia wifi ya 802.11ac si mbaya, ila zile wifi zinazoishiwa na n ni za kizamani.
Inategemea na speed unayopata.Kaka natumia samsung grandprime plus je hii nikitumia 3g ya halotell naweza update window yang. Kwa kile kifurushi cha usiku park. Naitumia hii sm kufanya tethering kwa usv.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo hii ina maana kwa watu wawili tofauti waliyojiunga kifurushi cha royal zikiisha gb za kasi, tuseme mmoja ana hyo device ya 2xmimo, na mwingne hana hyo device, kwa hyo hawatapata speed sawa kwnye eneo 1???L
1. Unatakiwa uangalie band, Kwa Tanzania usitegemee tu mtandao mmoja hakikisha ina band za 4g za mitandao yote. Band zenyewe ni
800, 1800, 2300 na 2600, pia nimewahi ona screenshot ya mtu band 2100.
2. Iwe na Lte zote ukikosa kabisa angalau lte advance na mtandao kama Halotel unafaidika na mimo una 2xMimo na ukiwa na kifaa cha kisasa nimewahi pata peak speed hadi 200mbps na sustainable speed hadi 120mbps.
Hii Mimo ni ule uwezo wa simu ama router kupewa signal na mnara zaidi ya mmoja. Hivyo unakuta minara miwili inakupa signal kwa pamoja na kusababisha speed iongezeke.
Njia rahisi ya kutofautisha baina ya lte ya kawaida na lte advance unaangalia speed ukiona imeandikwa 150mbps ujue hio ni lte ya zamani, lte advance inaanzia 300mbps kuendelea zipo hadi za 2GBps ila bei zake ndefu.
3. Pia angalia mambo mengine kama aina ya wifi, wifi ya kisasa zaidi inaitwa wifi 6 aka 802.11ax pia wifi ya 802.11ac si mbaya, ila zile wifi zinazoishiwa na n ni za kizamani.
Njoo kwa halotel Angalau wana unafuu wa vifurushi hata net yao siyo mbaya ukiwa na cm yenye 4GView attachment 1295543
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nin nihame AIRTEL...[emoji780]hatupimi bando for SURE
Haisaidii kwenye royal sababu pale kimakusudi ni halotel wenyewe wanaopunguza speed.Kwa hyo hii ina maana kwa watu wawili tofauti waliyojiunga kifurushi cha royal zikiisha gb za kasi, tuseme mmoja ana hyo device ya 2xmimo, na mwingne hana hyo device, kwa hyo hawatapata speed sawa kwnye eneo 1???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi halotel wametoa kifurushi cha unlimited cha usiku kwa watu wenye 4G au ni tatizo la mtandao?. Nikijiunga vifurushi vingine vinakubali lakini night offer wanasema sina salio la kutosha. View attachment 1299516View attachment 1299517
ichi kifurushi kimekuwa changamoto sana sasa ivi mkuu mm nilikiunga kikakubali lakini nilishindwa kutumia aikufanya kazi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwangu mimi super uni wameirudisha kama mwanzo. 500 unapata mb 500 dakika kadhaa na sms, 1000 unapata GB 1 na kile cha 2000 cha wiki unapata 1gb.
Daah kuna manuver umefanya..?Kwangu mimi super uni wameirudisha kama mwanzo. 500 unapata mb 500 dakika kadhaa na sms, 1000 unapata GB 1 na kile cha 2000 cha wiki unapata 1gb.
SawaKwangu mimi super uni wameirudisha kama mwanzo. 500 unapata mb 500 dakika kadhaa na sms, 1000 unapata GB 1 na kile cha 2000 cha wiki unapata 1gb.