BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Kwangu mimi super uni wameirudisha kama mwanzo. 500 unapata mb 500 dakika kadhaa na sms, 1000 unapata GB 1 na kile cha 2000 cha wiki unapata 1gb.
*149*03# then super uni
Nimeikuta tu hivyo toka jana.Daah kuna manuver umefanya..?
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Mkuu nmeitafuta hii app but zinakuja nyingi mno nashindwa kujua ni ipi sahihi..naomba link mkuu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
*149*03# then super uni
Hii menu voda kwangu napata vifurushi hivi pia*149*03# then super uni
Mm 500 wananipa 300mb ten days...Kwangu mimi super uni wameirudisha kama mwanzo. 500 unapata mb 500 dakika kadhaa na sms, 1000 unapata GB 1 na kile cha 2000 cha wiki unapata 1gb.
Sasa hiyo choice no 3 ni ya nn....kuna vitu ni vya ajabu sanaHii menu voda kwangu napata vifurushi hivi piaView attachment 1306427
Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Cha buku kimekaa vizuri sanaHii menu voda kwangu napata vifurushi hivi piaView attachment 1306427
Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
[emoji16] nimeipenda namba 3.Hii menu voda kwangu napata vifurushi hivi piaView attachment 1306427
Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Na mimi ninacho hicho cha 1k 1GB siku 10..Hii menu voda kwangu napata vifurushi hivi piaView attachment 1306427
Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Offer zote wameondoaTigi nao washazingua huko, tukimbilie wapi sasa?
Sent using iPhone
Mkuu sielewi kbs [emoji24][emoji24][emoji24] nilikuwa na plan ya kurenew laini ya tigo sasa naghairTigi nao washazingua huko, tukimbilie wapi sasa?
Sent using iPhone
Huwezi mkuu. Modem za 4g bei rahisi siku hizi nafkiri 25,000 zantel wanauza, na unaweza kuitoa lock ukatumia mitandao mingine.Chief inawezekana Ku.upgrade 3g modem to 4g..