....Nilinunua 2014 kwa 60...kama ni 25 tu nitaifata hata kesho...... thanks.....Huwezi mkuu. Modem za 4g bei rahisi siku hizi nafkiri 25,000 zantel wanauza, na unaweza kuitoa lock ukatumia mitandao mingine.
Hii menu unaipataje mkuu.kwangu hiyo namba 2 haipo,au inategemea na mkoa niniNimetia nanga Zantel mwendo wa 4gView attachment 1334325
Niliwahi sikia wadau wakisema imesitishwa, ila ilikuwa ni unlimited kweli. Na modem ya zantel inakubali mitandao yote kasoro Halotel.....Nilinunua 2014 kwa 60...kama ni 25 tu nitaifata hata kesho...... thanks.....
......
Hivi hii unlimited bando ya 1500 6to12 y halotel.....ni unlimited kweli???.
Niliwahi sikia wadau wakisema imesitishwa, ila ilikuwa ni unlimited kweli. Na modem ya zantel inakubali mitandao yote kasoro Halotel.
Wanaotumia halotel usiku watatu update.
*149*15#Hii menu unaipataje mkuu.kwangu hiyo namba 2 haipo,au inategemea na mkoa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh basi ni ofa za mikoa tofauti.kwangu ipo hivi*149*15#
Unaenda no,10 bao bila kikomo
kivurushi bado kipo mkuu mimi natumia vizuri kabisa
....Nilinunua 2014 kwa 60...kama ni 25 tu nitaifata hata kesho...... thanks.....
......
Hivi hii unlimited bando ya 1500 6to12 y halotel.....ni unlimited kweli???.
....Nilinunua 2014 kwa 60...kama ni 25 tu nitaifata hata kesho...... thanks.....
......
Hivi hii unlimited bando ya 1500 6to12 y halotel.....ni unlimited kweli???.
Hawa jamaa vifurushi vyao sio rafiki kabisa kwasasa.Tigo wanahujumu uchumi wetu in reality...
*149*15#
Unaenda no,10 bao bila kikomo
ZantelHii menu ya mtandao gani
Hii ni kwa siku ama wiki?Nimetia nanga Zantel mwendo wa 4gView attachment 1334325
Hata mimi nilijua hivyo kila nikijaribu kuchek menu ilikuwa inaniletea ujumbe huu ..Tigo jana walidai wanafanya marekebisho ya huduma nikajua labda makelele ya wateja yamewafikia kumbe hola![emoji1]
Naona walikuwa wanajaribu kuwapoza watejaHata mimi nilijua hivyo kila nikijaribu kuchek menu ilikuwa inaniletea ujumbe huu ..View attachment 1339465
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kikomo hiyo mkuu.Hii ni kwa siku ama wiki?
Dah!Bila kikomo hiyo mkuu.
Karibu mkuu,utakuja kuleta mrejesho hapa wa kushukuru!!!Dah!
Mwishowe nitanunua laini ya zantel sasa maana nasikia hata internet yake inaenda kistaarabu