Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Korona imenirudisha kwenye movies na series
Kifurushi natumia ni ttcl
500 napata gb 2 kuanzia saa 6 usiku hadi majogoo
1000 napata gb10 kuanzia saa 6 usiku hadi majogoo

Tatizo lao speed inachanganya kuanzia saa 8 usiku

Kuna bora zaidi ya hii?
 
Hiyo mibando ukishaungaga tu mtandao unakuwaga magumashi mwanzo mwisho mpaka bundle muda unaisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
halotel ukiwa na 4g kuna ofa balaa yaani ukinunua kifulushi cha buku 5 unapata gb 7 wiki, na kuna ka ofa mbele yake ya gb 1 na dk 100 [mitandao yooote] mwezi mzima.
 

Attachments

  • 3G Connection Manager 5_5_2020 8_13_34 AM.png
    72.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…