Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,801
inapungua kiasi gani?kifurushi kipo ktk royal bundle kinaitwa tanzanite ni tsh 50,000 unapiga simu bila kikomo,sms na internet unapewa mb za kasi na badae bila kikomo ila speed inapungua
Sasa si bora usajili laini nyingine ya tanzanite kifurushi icho icho ni elfu 20,dakika 200 mitandao yote kila siku,sms 500 kila siku na gb 50 kwa mwezikifurushi kipo ktk royal bundle kinaitwa tanzanite ni tsh 50,000 unapiga simu bila kikomo,sms na internet unapewa mb za kasi na badae bila kikomo ila speed inapungua
inategemea na internet ya eneo ila ikiwa ya 4G mfano youtube una stream 720p bila kustackinapungua kiasi gani?
50gb zikikata ndo basi ila ya tsh 50,000 unapewa gb 25GB na 11.5GB bonas na zikikata internet inaendelea kuwepo hadi tarehe ya ku expireSasa si bora usajili laini nyingine ya tanzanite kifurushi icho icho ni elfu 20,dakika 200 mitandao yote kila siku,sms 500 kila siku na gb 50 kwa mwezi
50gb zikikata ndo basi ila ya tsh 50,000 unapewa gb 25GB na 11.5GB bonas na zikikata internet inaendelea kuwepo hadi tarehe ya ku expire
unaweza tuma screenshot ya speed test ikipungua speed?inategemea na internet ya eneo ila ikiwa ya 4G mfano youtube una stream 720p bila kustack
Ni kweli ila ni bora gb 50 ya speed moja kuliko iyo wanayopunguza speed50gb zikikata ndo basi ila ya tsh 50,000 unapewa gb 25GB na 11.5GB bonas na zikikata internet inaendelea kuwepo hadi tarehe ya ku expire
now sijajiunga boss natumia internet ya 1gb kwa week mega bundleunaweza tuma screenshot ya speed test ikipungua speed?
Hizo laini usajili ni kiasi gani au ni bureUkienda kwenye ofisi za halotel unawaambia naitaji laini ya tanzanite tu
Elfu 20 unakuta na kifurushi kabisaHizo laini usajili ni kiasi gani au ni bure
ShukranElfu 20 unakuta na kifurushi kabisa
izo line zinapatikana wapi mkuu maana nimenda officen kwao wanauza 50kElfu 20 unakuta na kifurushi kabisa
Menu yake ni ipi?tigo napata dakika 250 all net
Gb 1.3
sms 100
kwa buku 2 wiki nzima
sijawaza kuhama kabisa hapa maana matumizi ya elfu 8 kwa mwezi ni bomba sana!
*147*00# chagua saizi yakoMenu yake ni ipi?
Halotel shop wanaziuza 50kElfu 20 unakuta na kifurushi kabisa
Dodoma mi nimesajili kwa elfu 20Halotel shop wanaziuza 50k
Duuhwamekuwa wa ajabu ata bandika bandua wamebadili ile 3.5Gb iliokuwa ina anza saa 2usiku wamepekeka adi saa 6usiku