Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi binafsi kwenye upande wa DATA natumia app inaitwa "YOUR-FREEDOM VPN" app hii inakuwezesha kujiunga na vifurushi vya internet bila kikomo yaan UNLIMITED INTERNET ACCESS..

1 MONTH- 6000
3 MONTHS-10,000
 
Hiyo imekaeje mkuu, ukiweka elf6 unatumia kwa mwezi bila kikomo, kwa mitandao yote au mtandao husika?
 
Mimi binafsi kwenye upande wa DATA natumia app inaitwa "YOUR-FREEDOM VPN" app hii inakuwezesha kujiunga na vifurushi vya internet bila kikomo yaan UNLIMITED INTERNET ACCESS..

1 MONTH- 6000
3 MONTHS-10,000
Hii app bado inafanya kazi? Niliitumia mwanzoni mwa mwaka jana nikailipia 15k kwa ajili ya miezi sita. Ila simu ilikua inakua nzito, inachemka sana afu internet connection inakata kata.
 
Mimi binafsi kwenye upande wa DATA natumia app inaitwa "YOUR-FREEDOM VPN" app hii inakuwezesha kujiunga na vifurushi vya internet bila kikomo yaan UNLIMITED INTERNET ACCESS..

1 MONTH- 6000
3 MONTHS-10,000
Tupe maujanja mzee
 
Kwa yeyote aliyewahi kutumia JIMWAGE DATA ya vodacom, naomba review kuhusu speed yake!
 
Mimi binafsi kwenye upande wa DATA natumia app inaitwa "YOUR-FREEDOM VPN" app hii inakuwezesha kujiunga na vifurushi vya internet bila kikomo yaan UNLIMITED INTERNET ACCESS..

1 MONTH- 6000
3 MONTHS-10,000
Naimba details zaid na picha ya hii app plz
 
Mimi binafsi kwenye upande wa DATA natumia app inaitwa "YOUR-FREEDOM VPN" app hii inakuwezesha kujiunga na vifurushi vya internet bila kikomo yaan UNLIMITED INTERNET ACCESS..

1 MONTH- 6000
3 MONTHS-10,000
hii hifanyi kaz now kwa mtandao wa vodacom, airtel,halotel..kwa mbalii tigoo san ,na TTCL ndio iko fresh kwa sasa
hasara zake, INACHEMSHA SIMU
CHAJI KAMA MAJII INANYONYAA
NA PIA SIO STABLE SANA,HASA KWA YALE MASWALA YA KUDOWNLOAD

0745187765 NITAFUTE KAMA UTAHITAJI MAELEKEZOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…