Ernest lukindo
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 156
- 112
Unajiunga vip hii hudumaNateleza tu Kila mwezi Mwaka mzima...View attachment 1676646
Ni 25k mkuu unaungwaUnajiunga vip hii huduma
Duuhh Bora ninunue chakula nikiweke ndani mkuu Wahudumie wengne kwanzaNi 25k mkuu unaungwa
Miezi 12 ? Nunua chakula chako tu mkuu, hakuna neno.Duuhh Bora ninunue chakula nikiweke ndani mkuu Wahudumie wengne kwanza
Sa kwanini mkuu usiweke wazi jinsi ya kujiunga kwa faida ya wana JF...Au ni fursa??!Miezi 12 ? Nunua chakula chako tu mkuu, hakuna neno.
jaribu kuangalia kwa halopesaHalotel wamepunguza kifurushi cha usiku kwangu tuu au ni wote !?View attachment 1684904
Mtandao gan?6.8GB/month per year. Only for 25k
TigoMtandao gan?
Poa Chief.jaribu kuangalia kwa halopesa
soma zaidi hapa
Mtandao gani una offer nzuri ya bando la usiku?
Halotel Madai yao wameshtuka,hatimae hatuna unlimited tena umbwa hawa...Ipo ukijiunga kutumia halopesawww.jamiiforums.com
Nimepitia majibu ya waliojaribu wanasema ngoma inakatia kwenye 4.5GBjaribu kuangalia kwa halopesa
soma zaidi hapa
Mtandao gani una offer nzuri ya bando la usiku?
Halotel Madai yao wameshtuka,hatimae hatuna unlimited tena umbwa hawa...Ipo ukijiunga kutumia halopesawww.jamiiforums.com
tunapataje?Yeah wakuu kwa niaba,
Ile ofa ya GB za tigo imerudi kama ifuatavyo:
30GB kwa Mwaka Tshs. 8,000/=
84GB kwa Mwaka Tshs. 25,000/=
100GB kwa Mwaka Tshs.80,000/=
Cc: Chief-Mkwawa Mwl.RCT
Aaah we usituchanishe mkeka ebu elezea menu yake iko vipiYeah wakuu kwa niaba,
Ile ofa ya GB za tigo imerudi kama ifuatavyo:
30GB kwa Mwaka Tshs. 8,000/=
84GB kwa Mwaka Tshs. 25,000/=
100GB kwa Mwaka Tshs.80,000/=
Cc: Chief-Mkwawa Mwl.RCT
Menu yake tafadhali, kwanini msitoe maelezo ya kueleweka?Yeah wakuu kwa niaba,
Ile ofa ya GB za tigo imerudi kama ifuatavyo:
30GB kwa Mwaka Tshs. 8,000/=
84GB kwa Mwaka Tshs. 25,000/=
100GB kwa Mwaka Tshs.80,000/=
Cc: Chief-Mkwawa Mwl.RCT
Unajiunga vipi mkuuYeah wakuu kwa niaba,
Ile ofa ya GB za tigo imerudi kama ifuatavyo:
30GB kwa Mwaka Tshs. 8,000/=
84GB kwa Mwaka Tshs. 25,000/=
100GB kwa Mwaka Tshs.80,000/=
Cc: Chief-Mkwawa Mwl.RCT
Hapa so kwamba tunapigwa kweli !?? kuweni makini hizo elfu 8,000, 25,000, 80,000/ ni parefu tuwe makini na biashara mbovu kama hizi ambazo hazina ukweli ndani yakeYeah wakuu kwa niaba,
Ile ofa ya GB za tigo imerudi kama ifuatavyo:
30GB kwa Mwaka Tshs. 8,000/=
84GB kwa Mwaka Tshs. 25,000/=
100GB kwa Mwaka Tshs.80,000/=
Cc: Chief-Mkwawa Mwl.RCT