Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ni mungu asikie kilio mkuu na hivi iko kisiasa hili jambo sitashangaa wametengeneza wahe baadae watatue waonekane wamefanya kazi na wanatujali
aah hii ndo imetoka mkuu mwisho wa siku watanzania ni watu wastaarabu sana watazoea tu na maisha yataendelea kama kawaida
 
aah hii ndo imetoka mkuu mwisho wa siku watanzania ni watu wastaarabu sana watazoea tu na maisha yataendelea kama kawaida
We jamaa kafute uzi wako ule bana! Unazingua sana, au edit utoe ile kitu nafikiri unajua ulichokifanya....
 
Khali hii itatufanya tutowekee mitandaoni , yaani nilikuwa nasave wiki nizima kwa gb1 natoa buku jero [emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom