Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu


Je huo mtandao gani mkuu
 
Kuna wengine wameungwa Ila wameshindwa kuelewa mchanganuo wa vifurushi. Ni kwamba kwa sasa utapata kwa siku 14 za mwanzo, (first two weeks) na baada ya hapo unaweza kujiunga kifurushi Cha kawaida Ila ikifikA mwisho wa mwezi unawekewa Tena GB zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…