Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Japo wamebadilisha lakini kawazidi hao jamaa wote waliobakiamna kitu hao now wamebadilisha
sasaivi wanakupa mb700 na dk kibao. Wamefyeka kama mb 600 hivi. Yani kiufupi sasahivi GB 1 ni elfu 2+.saizi ikoje mkuu
sasaivi wanakupa mb700 na dk kibao. Wamefyeka kama mb 600 hivi. Yani kiufupi sasahivi GB 1 ni elfu 2+.saizi ikoje mkuu
Mbona nimepakua sijapata leo.KWA WENYE HALOTEL TU INAWAHUSU.
HALOTEL WAMEKUJA NA OFA HIII UNAPAKUA TU APP YAO YA [HALOPESA] PLAYSTORE NA UJISAJILII KWA NAMBA YAKO YA HALOTEL KAMA HUNA HALOTEL HIII HAIKUHUSU ILA WENYE HALOTEL UKISHAMALIZA KUJISAJILI TU APP HALOPESA UNAPATA GB 2 ZAKO SAFI KABISA . View attachment 1979913
Umepakua halopesa app , umejisajili ? Jisajili kwanza ,Mbona nimepakua sijapata leo.
Thanks nishapata mkuu.Umepakua halopesa app , umejisajili ? Jisajili kwanza ,
Fungua app
Anza kuweka namba yako ya simu
Utatumia otp weka.
Baada ya hapo weka namba ya siri ya halopesa .
Utapewa ndani ya dakika 1.
Poa poa mkali .Thanks nishapata mkuu.
Ya kurusha au kukwangua?Nauza vocha za Airtel kwa punguzo la 20%. Vocha ya 1000 nakuuzia kwa 800. Karibuni
Kwa kisicho cha halali haipendezi , cha mtu huwa hakiendi bure.Asante kwa taarifa
ila hawa matapeli ni moja ya kujipatia chochote maana wanasema mjini mipango.
Asante kwa taarifa
ila hawa matapeli ni moja ya kujipatia chochote maana wanasema mjini mipango.