Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa mnaotumia TTCL hiki kipengele kilichoainishwa hapa chini hakijabadilika hata kidogo? Kama hakijabadilika itabidi nisajili line ya TTCL



"bandika bandua ni vifurushi vizuri kwa matumizi makubwa Kama kuangalia Netflix, zipo option Kama
-1000 GB 4 kwa siku (Mb 500 mchana 3.5GB usiku)
-2500 GB 10 kwa siku
-5000 GB 8 kwa wiki (3gb mchana na 5GB usiku)
Uzuri wake ni kwamba GB za usiku zinaanza saa 2 usiku muda mzuri ambao watu wanaangalia movies baada ya kutoka makazini"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…