Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Akikwambia uweke namba yako hapa ya vodacom ili akuunganishe utaweka? inapaswa ujue kwamba yeye anaunganisha line yoyote ile ya vodacom iwe inapata vifurushi vya chuo
angefafanua kama wewe hivi. Nisinge pata shida kukuelewa.
 
Sasa unasemaje sio rasmi wakati vina menu?
vifurushi rasmi ni vile ambavyo vimewekwa kwenye menu ya internet, hivi vyengine vimefichwa na wala kwenye website ya mitandao husika huwezi vikuta vimeandikwa na vyengine ni kwa ajili ya watu maalumu mfano hivyo vya wanachuo na offer maalumu za mtu mmoja mmoja
 
Ndugu naomba msaada wako ni njia ipi watumia kupakua movie kwenye simu
 
Kwa siku za karibuni halotel wamepunguza mb toka 600 kwa shs 500 na kwa sasa ni shs 500 unapata mb 500 zinadumu kwa wiki.
 
Usiwe nashaka mama,special laini za chuo kwa voda awana,ndo maana nikakuambia kama unaitaji vifurushi vya chuo kwenye laini yako ya voda nipm
Kila nikihitaji kifurush cha chuo ni lazima niku pm au unaunganisha line kiasi cha kuniwezesha kujiunga pasipokukupm?
 
We mbahili sana, tigo, airtel, voda, ttcl na smart umewabania kwenye rangi lakini halotel umeiandika kwa rangi yote?[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…