Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #301
unatakiwa uwe na kimoja kati ya hivyo,Mkuu hiyo bando ya airtel ya chuo ina hitaji laini ya chuo tu au ni inahitaji vocha za chuo nikimaanisha inakubali ktk laini yoyote ya airtel
ukiwa na vocha za chuo huna haja na line ya chuo, utatumia vocha na line ya kawaida.
ukiwa na line ya chuo hakuna haja ya vocha za chuo.
pia vifurushi vingi vinapatikana bila line ya chuo au vocha za chuo, ukiwa na line ya kawaida na airtel money unavipata kwenye menu ya airtel money, kasoro tu kifurushi cha 10gb kwa 600 ndio sijakiona.