Mkuu sio dakika hata sms na mb au gb hazina kuexpair yaani hawa ttcl na kifurushi hiki kipya cha BUFEE ni noma sanaHiki kipo bombs Sana hasa kwa dakika yaan Dak 20 kwa cent 86 uwiiii ukiunga za buku 20 unamsahau Kama Kuna kuweka vocha maana dakika hazina limit ya mda.
Hiki nakipataje mkubwa?Ni mwendo wa kushusha movies tu na games [emoji2][emoji2]View attachment 2028942
Prepaid mkuuHiki nakipataje mkubwa?
Ukimaanisha kwamba!?Prepaid mkuu
Pesa ngapi hicho mkuu nikiwahi?Ni mwendo wa kushusha movies tu na games [emoji2][emoji2]View attachment 2028942
Kwa mtandao gn mkuu?Pre paid icho nicheki PMView attachment 2029301
Amumekujibu mkuu hapo juuPesa ngapi hicho mkuu nikiwahi?
Sh ngpPrepaid mkuu
Hichi kifurushi nakipataje? Nataka nijiunge hicho cha 25000
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hali ni mbaya sio poaMkuu kwa sasa hivi una offer/bando gani?maana hali ni mbaya
Mkuu nipe mrejesho uliungwa? Ili namimi nipae nae angani?Ni kawaida kabisa kwa mteja deal au biashara inapochelewa kuwa na mashaka especially kwenye mitandao ya kijamii ambayo lengo ni privacy kama hii.Hili linapaswa kuwa sehemu ya changamoto katika biashara yako.Hupaswi kwenda chuo kikuu ili kujifunza hili.
Biashara yoyote ile lazima iwe na changamoto.Usizikimbie changamoto.Changamoto ndiyo biashara yenyewe.
BadoMkuu nipe mrejesho uliungwa? Ili namimi nipae nae angani?
Umenitisha mkuu acha ni [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Bado
Sadly hakipo mkuuHichi kifurushi nakipataje? Nataka nijiunge hicho cha 25000
Tapel kaumbuka ahahahahahahahahSasa wewe unaunga watu voda lakini mwenyewe unatumia zantel