Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hawa wanahost youtube
https://xmovies8.ru
Samahani nipo out of mada kiongozi...

Ni hivi simu yangu (HTC e9 plus) nikitumia data halotel ina overheat sana na kuisha betri haraka tofauti na ninapokuwa natumia data kwa voda....he tatizo ni nini?

Nilijaribu kuuliza baadhi ya watu wanaotumia halotel data kwa huku nilipo wakasema wana experience the same issue....

Natanguliza Shukrani
 
duuuuh...kwa hapa naufyata kupisha wajuaji...[emoji4]
 
voda ndo hapo huwa naikubali 3gb siku 5 na kwa speed nzuri ajabu.
Unaipataje hiyo mkuu
 
Asante
 

hili suala tulishaliongea humu halotel hana 3G/WCDMA yeye ana hspa na hspa+ tu

mitandao mengine wanatumia wcdma kama standby na kutunza charge na inakuja h au h+ pale tu unapokuwa unatumia internet, lakini wao halotel muda wote wanakuwa h+ ambayo inakula sana charge.

sio wewe tu hata mimi inanitokea na watu wengi tu.
 
Hallotel wamesha kuwa wezi, yani ukinunua bando halikai kama mwanzo..
Makampuni ya simu ni wezi balaa. Hakuna wakutusemea. Viongozi wanashindwa kusimamia na kukomesha wizi huu. TCRA wapo kimya tu hawana meno.ukitembelea page za Facebook za haya makampuni watu wamalalamika sana kuhusu kuibiwa, huduma mbovu.TTCL ndo hvyo tena.
 
Shukrani sana kiongozi,nimepata kuelewa
 
Edit hapo Airtel Wana Night Pack (Amsha Popo) kwa Tsh. 1,500 unapata 10GB.
 
Hzo 100 za Usiku magumashi matupu maana zikiisha zile mb500 huwez peruzi hata km ni saa8 usiku mpk ujiunge tena.
Kweli mkuu Mimi imenitokea Jana nilikua nimetumia MB 500 Bahati nzuri Simu yangu huwa inanirekodia Matumizi cha ajabu zile MB 100 hata sikuzitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…