Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

mi nikipiga iyo namba nikijiunga inaniletea txt ya cheka na haitaki kujiunga
 
unaungaje?
Mkuu tafadhali naomba msaada,smart tv yangu inashindwa kucheza muziki niliyoidownload kutoka youtube ambayo ipo kwenye flash disc nichomekapo kwenye usb port ya hiyo tv!!.....naomba nieleze code sahihi za videos,sauti pamoja na format inayoweza kukubali kucheza kwenye tv.Pia naomba niambie software nzuri ya window ambayo inaweza kuconvert hizo video ili ziende kwenye format inayoweza kukubali kucheza kwenye hiyo tv yangu!!

Shukrani
 
 
Asante mkuu
 


Ttcl vifurushi vya mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…