Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hongera. naona unatunga sms na kujijibu mwenyewe.
ukiwa na ID mbili tatu hivi raha kweli moja unareply na nyingine unajisupport mwenyewehongera. naona unatunga sms na kujijibu mwenyewe.
Hii ikoje? Unatakiwa kuwa na line maalum au hii hii ya kawaida mradi tu uwe maeneo ya chuo?Boss Unapiga *149*42#
Hii unajiungaje?10gb mwez kwa 2000 tigo only
*148*33#Hii unajiungaje?
Sio wote hii*148*33#
Sipo mkuu, ila kwa ugumu wa life ya Magu, bora nitafute hako kalaini kachuo.Kwani bado upo university?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We mkuu mbona hujataja na muda wa vifurushi hivyo? Au wamekupoza wenye makampuni au!!!hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
-1gb kwa shilingi 600
nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
-vifurushi vya chuo
hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo
Vodacom
-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-vifurushi vya chuo
kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#
Airtel
-vifurushi vya chuo
hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-vifurushi vya chuo
hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-usiku 10g kwa sh 1500
pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet
TTCL
-Boom pack (vya chuo)
kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb kujiunga *148*30#
smart
-unlimited bundle
kwa siku unlimited 1,000 kwa wiki 7,000 na kwa mwezi 20,000 tuma neno DATASIKU au DATAWIKI au DATAMWEZI kwenda 100, vifurushi hivi ni kwa watu walio nje ya dar tu
vifurushi vya youtube
zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.
kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini
Remote
vyote vina.muda, hivyo ambavyo unaviona havina muda ni vya wiki sababu majority ya vifurushi vya chuo ni vya wikiWe mkuu mbona hujataja na muda wa vifurushi hivyo? Au wamekupoza wenye makampuni au!!!
Mkuu mbona kuna taarifa kuwa hizo vocha za airtel za chuo, hazipatikani kwasasa na badala yake kuna line maalum??vyote vina.muda, hivyo ambavyo unaviona havina muda ni vya wiki sababu majority ya vifurushi vya chuo ni vya wiki
wamebadili toka zile vocha kubwa kuja vocha ndogo ila bado zinapatikana kwa wingi tu.Mkuu mbona kuna taarifa kuwa hizo vocha za airtel za chuo, hazipatikani kwasasa na badala yake kuna line maalum??
Unamaanisha hizo vochs maalum?? Na je hata mtu akiwa mbali na dar anaweza kuzitumia??. Naomba maelekezo zinapouzwa, na aina ya vifurushi na bei ya vocha mkuuwamebadili toka zile vocha kubwa kuja vocha ndogo ila bado zinapatikana kwa wingi tu.
bonyeza *150*06# then chagua 6 ofa kabambe then utaona uni vifurushi ndio hivyo. vocha zinazuwa vyuoni na zinatumika kokote penye airtel Tanzania.Unamaanisha hizo vochs maalum?? Na je hata mtu akiwa mbali na dar anaweza kuzitumia??. Naomba maelekezo zinapouzwa, na aina ya vifurushi na bei ya vocha mkuu
Nielekeze zinapopatikana hizo vocha na bei tafadhali mkuubonyeza *150*06# then chagua 6 ofa kabambe then utaona uni vifurushi ndio hivyo. vocha zinazuwa vyuoni na zinatumika kokote penye airtel Tanzania.