hosh kosh
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 748
- 572
wapigie wakuambie vigezo unavyotakiwa kutimiza..wapige tigoMmmmh sidhan, me nimefosi karbia wiki mbili sasa mshkaj wangu alnambia ila mpk leo inakataaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapigie wakuambie vigezo unavyotakiwa kutimiza..wapige tigoMmmmh sidhan, me nimefosi karbia wiki mbili sasa mshkaj wangu alnambia ila mpk leo inakataaa.
*148*33#Menu ipi kaka....naitaka hii
*148*33#
Itakua umekosa... vya halotel ni official.. vipo kwenye menu yao
hicho ni kifurush cha chuo, uweze kukipata nunua lain ya chuo, n vifurush official hivyo![]()
angalia quote yake jamaa, alitupa MENU ya *149*55#
jaribu halotel na smart wao ndio wapo poa maeneo ambayo sio ya mjini.
ndiyoHiyo ya Tigo 600 1gb ni kwa siku au?
Masaa24Mkuu hiyo GB 1 ya tigo kwa sh 600 inatumika ndani ya muda gani
Kifurushi cha Yatosha Mitandao Yote kwenye Airtel nashidwa kukielewaKwa nin nihame AIRTEL...[emoji780]hatupimi bando for SURE
wana coverage nzuri tu, almsot mikoa yote wapo kuna minara fulani hivi ipo mingi mingi wanatumia.Mkuu kwan hawa smart covarage yao kwa hapa TZ ikoje nataman pia kuwajarbu.
Mbona mawakala wao awaonekani huku mikoani wakisajili lain kama mawakala wa mitandao menginewana coverage nzuri tu, almsot mikoa yote wapo kuna minara fulani hivi ipo mingi mingi wanatumia.
jaribu kuwasearch na simu, nenda kwenye network search chagua manual, hakikisha unasearch na simu yenye 3g quad band,
pia usisahau kurudisha auto ukimaliza kusearch
wana coverage nzuri tu, almsot mikoa yote wapo kuna minara fulani hivi ipo mingi mingi wanatumia.
jaribu kuwasearch na simu, nenda kwenye network search chagua manual, hakikisha unasearch na simu yenye 3g quad band,
pia usisahau kurudisha auto ukimaliza kusearch
search mtandao ukiupata agizia line mjini, vocha maxmalipoMbona mawakala wao awaonekani huku mikoani wakisajili lain kama mawakala wa mitandao mengine
Mi mwenyewe huwa natumia hii system ni legal na nahisi ni moja ya project zake ambazo zimedhaminiwa na airtel na hua haicharge more na kinachotakiwa mfano,kama wataka kifurushi cha buku unakipata kwa buku,1500 kwa 1500,600 kwa 600. Na ni chap chap.Jamani kile kifurushi cha 10GB kwa 600/= bado kipo kuna trick ya kukipata hebu fanya hivi weka pesa kwa AIRTEL MONEY account yako hata buku hivi then tuma tsh 600/= kwa hii No. 0785566273 utaona jina FRANK LUGANO usiogope huyu jamaa ni balozi wa airtel wa chuo kikuu cha UDOM baada ya muamala wako kukamilika just ni dk.0 tu anakutumia SMS yenye jina lako kamili ulilosajiria laini yako ya Airtel ya kukushukuru then kama sekunde kadhaa hivi anatuma SMS yenye namba za UNI na maelezo jinsi ya ya kuzijaza kwa maana sio za kujaza tu kama vocha zingne kwa mnaotumia hizi vocha za UNI nadhani mtakua mnajua ambavyo huwa tunajaza unapiga *149*94* namba za hiyo then # unapata 10GB zako tu kwa siku 3 kuanzia saa 5 usiku mpaka majogoo spidi ya fastje,Na hii huduma ananunua mtu yeyote yule mwenye laini ya airtel kwa kufuata procedures nilizokupeni hapo juu haijalishi ni mwana chuo au mtu wa kitaa ni kwa wotee .
TRUST ME GUYS WORRY OUT IT IS ABSOLUTELY LEGAL TRICK!
Me nimekua nikitumia sana kwa muda mrefu najilia vyangu tu kuanzia saa 5 usiku nikijiunga na kama utapata tatizo au umekwama mahala flani usisite niulize nakuelekeza vizuri.
hongera. naona unatunga sms na kujijibu mwenyewe.Ndio kabisa mkuu huwa na enjoy sana kwa hivi vifurushi kwa hii trick hata bila ya kuhangaika na vocha za UNI tena hata nikiwa kijijini huko ambako hakuna hata vocha za UNI inapiga kazi tu kama kawa.
Kivip mkuu?hongera. naona unatunga sms na kujijibu mwenyewe.