jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
boss naitaka hii bado ipo?.hats file za Internet bure kwa Voda Aitel na Halotel tu
mwenye uhitaji nicheck Pm.
View attachment 2100415
Mkuu vipi eni iz lili.Bado hujajua vzur kuficha vitu kwenye videos..... jitahidi kuboresha hilo[emoji16][emoji16]
ivi h
izi ni offer au vifurushi vya kawaida
Mjini mipango utalia kilio cha mbwa kichaa muda siyo mrefuboss naitaka hii bado ipo?
sijawa boya wa kukurupuka bossMjini mipango utalia kilio cha mbwa kichaa muda siyo mrefu
Juzi kati last year Mwez wa kumi ,kumi na moja piaUlitumia mwaka gani?
sio kwa huyu mtu, jamaa yuko vzr, na ni mkwel.Acha wizi
Inafanyaje kazi hii naomba elimu hapa.Wale wa http custom, hizi hapa working files kwa TTCL:
HTTP Custom Free Internet Config Files for All Countries [Update daily]
http customkyeyit.blogspot.com
Hii ndio inakuaje mkuu.Tupia na za Airtel boss
Download app ya http custom mkuuInafanyaje kazi hii naomba elimu hapa.
Sawa mkuu ila sijajua kazi yake kiongozi.Download app ya http custom mkuu
Ni 55,000/= au ni 550,000/=????5.5 ndo shilling ngapi boss
Gb 5 na mb 500 kila mwezi kwa miezi 12Ni 55,000/= au ni 550,000/=????
Swali la kizushi: uliwahi kupata bahati ya mtu kuku mention?Apa Tigo ingekuwa inashika Ningenunua Mkuu. Tunasubiri Basi Jekundu
Sms hii ni ya lini mkuuAsante sana mimi nimepata changu View attachment 2084981
Mwezi wa kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swali la kizushi: uliwahi kupata bahati ya mtu kuku mention?
Hiyo UT loop na Hero DNSTT tulizokupa bure kule kwenye channel unataka watu wakufuate PM uwapige hera?Proof; Internet free na hiyo VPN mwenye uhitaji aje PM
Nikupe hiyo App na Settings zake....
View attachment 2107058f
Hajitambui yaani anataka kuwauzia watu humu utopolo wa UT LOOP πVPN umei download bure google Play store wewe unataka upatiwe hela Ili uitaje ,,, ujinga tu.