Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #4,441
Unatumia kwenye nini hio router?Mimi nina katatizo kidogo naomba nisaidiwe. Nina router ya Tigo 4G ila nikiitumia bando ninalokuwa nimejiunga linaisha haraka. Nimefanya uchunguzi nimegundua hata pale ninapokuwa si browse lakini bando linakuwa linaendelea kuliwa. Kama kuna namna ya kurekebisha au kutatua hili tatizo naomba nisaidiwe. CHIEF MKWAWA