Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi nina katatizo kidogo naomba nisaidiwe. Nina router ya Tigo 4G ila nikiitumia bando ninalokuwa nimejiunga linaisha haraka. Nimefanya uchunguzi nimegundua hata pale ninapokuwa si browse lakini bando linakuwa linaendelea kuliwa. Kama kuna namna ya kurekebisha au kutatua hili tatizo naomba nisaidiwe. CHIEF MKWAWA
Unatumia kwenye nini hio router?
 
Tofauti na mitandao ya simu, Fiber na Adsl ni miundombinu miwili tofauti. Wanakuletea waya nyumbani toka nguzo zao, ukiletewa waya wa adsl hauwezi pitisha bandwidth ya Fiber. Mfano adsl max ni 24mbps wakati fiber ni zaidi ya mara 1000 speed yake.hivyo ukiunga adsl ni adsl ukiunga fiber ni fiber.

Atleast TTCL wanaruhusu ila kampuni nyingi installation ni bure.

Hii inawezekana kwa mitandao ya simu tu, Fiber ili ubadili provider inabidi wa kwanza atoe Nyaya zake mwengine aje kuweka zake.

Kama kwako kuna access ya Fiber vyema uende fiber moja kwa moja ina speed kubwa zaidi hata kama mnashare wengi speed haitapungua sana.
Shukrani Mkuu kwa majibu mazuri, hapo nimekusoma vyema kabisa.
 
Wakuu gb za tgo 72 Leo zipo za mwaka mzima Kila mwez gb 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima njoo pm nikuunge malipo kabla[emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]

Free call ya tgo yaan unapiga simu bila salio kwa miaka 2 njoo pm nikuunge[emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]malipo baada ya kazi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna mdau alisema uweke namba yako ili kila mtu akutafute kwa wakati wake.ila kitendo chakukufata inbox halafu badae nikutumie au nikutafute kwa namba yangu hii aijakaa poa.ukiweka namba itapendeza zaidi
 
Wakuu gb za tgo 72 Leo zipo za mwaka mzima Kila mwez gb 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima njoo pm nikuunge malipo kabla[emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]

Free call ya tgo yaan unapiga simu bila salio kwa miaka 2 njoo pm nikuunge[emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]malipo baada ya kazi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu tuokoe na Voda mabundle yameshaisha huku Kudadeki
 
Waambie internet ya Nyumbani haina process ukisema ya ofisini ndio kuna process, vifurushi ni vile vile tu.

Router nilinunua used mkuu, 40,000 kwa mtu, za kwao wenyewe TTCL wanauza 55000, ila zimeisha.

Mtaani wamepandisha bei mpaka 125,000 sababu wanajua TTCL hawana stock.
Mkuu wanaunganisha kwa kutumia dish au au waya?
Niko Morogoro nmefikiria kuipata hiyo huduma.
 
.hats file za Internet bure kwa Voda Aitel na Halotel tu
mwenye uhitaji nicheck Pm.

HAAAAAA_263791359149381_285166159701030304_n.jpg
 
.hats file za Internet bure kwa Voda Aitel na Halotel tu
mwenye uhitaji nicheck Pm.

View attachment 2100415
Mkuu, hongera kwa kutoa config files bure. Ungeuza files hapa JF watu wangekuona tapeli.

Mpaka sasa, files zinazofanya kazi ni za Airtel tu, mitandao iliyobaki sidhani kama kuna files zinafanya kazi. Labda VPN za DNS

Airtel yenyewe siku hizi imeanza kusuasua ku-connect, mpaka ulazimishe mara nyinginyingi ndiyo inakubali.
 
Waya wanatumia
Nikikuwa naangalia angalia router zinazouzwa eBay, Kumbe kila kitu limit na specifications zake?, kwa kutokujua, nilikuwa nafikiri kila router inaweza kufanya chochote kwenye intaneti, yaani kubrowse na kustream, kumbe router nyingine haziwezi kustream.
Screenshot_20220130-105721_Gallery.jpg
Screenshot_20220130-105013_UC Browser.jpg
 
Nikikuwa naangalia angalia router zinazouzwa eBay, Kumbe kila kitu limit na specifications zake?, kwa kutokujua, nilikuwa nafikiri kila router inaweza kufanya chochote kwenye intaneti, yaani kubrowse na kustream, kumbe router nyingine haziwezi kustream
Router haistream? Sijaelewa, ila adsl ni tech ya kizamani sana, watu wanatumia toka 90s huko. Ndio maana router zake ni b,g na n router za kisasa ni ax na za pili kwa ukisasa ni ac (wifi standars).
 
Mkuu, hongera kwa kutoa config files bure. Ungeuza files hapa JF watu wangekuona tapeli.

Mpaka sasa, files zinazofanya kazi ni za Airtel tu, mitandao iliyobaki sidhani kama kuna files zinafanya kazi. Labda VPN za DNS

Airtel yenyewe siku hizi imeanza kusuasua ku-connect, mpaka ulazimishe mara nyinginyingi ndiyo inakubali.
Mkuu naomba hat file la Airtel linalopiga kazi muda huu
 
Mkuu, hongera kwa kutoa config files bure. Ungeuza files hapa JF watu wangekuona tapeli.

Mpaka sasa, files zinazofanya kazi ni za Airtel tu, mitandao iliyobaki sidhani kama kuna files zinafanya kazi. Labda VPN za DNS

Airtel yenyewe siku hizi imeanza kusuasua ku-connect, mpaka ulazimishe mara nyinginyingi ndiyo inakubali.
Anauza buku 10 mkuu. Ila anasema ni uhakika, tusubiri waungwe
 
Back
Top Bottom