Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

kwa TTCl sita shauri mtu kwa mwanzo kama hujawahi tumia net yenye kasi una weza dhania kama ina speed ila nimeitumia mitaa ya posta kuna mda ina kuwa chini mno.
 
Router/modem, kunakuwa na kabox kadogo kanachoconvert ule waya wa simu kuja mfumo wa adsl na waya unaotoka kwenye box kuja kwenye router.

Kikawaida vyote hivi TTCL wanauza 55,000 lakini sasa hivi hawana stock, hivyo inabidi ununue mwenyewe.
Wana unlimited pia?
 
Wana unlimited pia?
Ukishaona internet unapimiwa kwa speed ujue ni unlimited. Ingekuwa limited kwa GB kadhaa wangekupa full speed ili GB ziishe haraka.

Zote satelite ya Konnect, Adsl ya TTCL na hizi Fiber ni unlimited tena bila vikwazo, Zuku nadownload games kubwa kubwa Over GB 100, Inastream youtube na Netflix almost 24 hours per day tena Nyumba zaidi ya moja na sijaona hata siku moja wakileta Longolongo.
 
Hawa connect mnawapataje. Mimi nimeshindwa
Hapa mkuu

Adress ya Tanzania
Netconcepts (T) Limited

Plot 0950 Net Complex Plaza Mandela Road, Tabata Dampo, Dar es Salaam, 78492, Tanzania

+255 784 526 155 / 156
 
kwa TTCl sita shauri mtu kwa mwanzo kama hujawahi tumia net yenye kasi una weza dhania kama ina speed ila nimeitumia mitaa ya posta kuna mda ina kuwa chini mno.
TTCL pia wana Fiber, inategemea na Tech uliyotumia, Satelite ipo slow, Adsl katikati na Fiber ina speed.
 
Ukishaona internet unapimiwa kwa speed ujue ni unlimited. Ingekuwa limited kwa GB kadhaa wangekupa full speed ili GB ziishe haraka.

Zote satelite ya Konnect, Adsl ya TTCL na hizi Fiber ni unlimited tena bila vikwazo, Zuku nadownload games kubwa kubwa Over GB 100, Inastream youtube na Netflix almost 24 hours per day tena Nyumba zaidi ya moja na sijaona hata siku moja wakileta Longolongo.
Tatizo meme niko kigamboni huku cjui hata kama ttcl wamefika nashida na iyo huduma Sana yahn
 
Nenda TTCL ya karibu na wewe Kaulizie. Ila kama unataka kutumia kucheza games huna ujanja ni Fiber ama mitandao ya Simu. Hizi satelite na Adsl hazifai kwa Gamers.
 
Hapana nataka kutumia kudownload game na movie tu kaka maana Nina ofisi ya hayo mambo so kama itanifaa nifatilie!
 
Inategemea na matumizi mkuu usiweke tu expectation kubwa, Adsl si fiber ama 4g. Mambo madogo madogo kama youtube na kubrowse itafanya ila sababu ya upload speed ndogo vitu kama video call sahau. Pia kuangalia mpira itategemea na website.

View attachment 2096215
Kifurushi cha 25000 hiko. Si mbaya kwa muono wangu kama unatumia mwenyewe ama wewe na mwenzako mmoja.
Dah hapo kwenye kusahau hata video call sasa 🤦🏾‍♂️😄.
Ila sio ishu muhimu niweze download movies unlimited plus HD/music streaming.
 
TTCL pia wana Fiber, inategemea na Tech uliyotumia, Satelite ipo slow, Adsl katikati na Fiber ina speed.
Mimi nilikuwa na TTCL fiber mkuu, tena mwaka jana, wana speed mpaka 7mbps mda mwingine. kiufupi kwa hali ya bundle ilivyo hivi sasa kama una access na hiyo TTCL jiunge fiber yake ita kuokoa. Ila mimi nilikimbia baada ya kuonja 100mbps nikaona wao slow, ila kwa mtu asiye na kitu kabisa TTCL ni dili. Pia jaribuni Simba Net koz hawa ndio wana wauzia band width hawa wengine, na simba net wamechimba mitaro karibu eneo lote la kinondoni kulaza fiber optic cable so ni vizuri kuliza kama wamepita mtaani kwako upate huduma.
Kama una piga mbishe zako maeneo ya Posta, Kariakoo, Msasani hawa jamaa naona wapo sana huduma una weza pata kiurahisi.
 
Simbanet nawafahamu ila individual ku afford simbanet ni ngumu, wale jamaa wana deal na Biashara tu.

Fiber ya TTCL uliopata 7mbps ni kifurushi kipi?
 
Ukishaona internet unapimiwa kwa speed ujue ni unlimited. Ingekuwa limited kwa GB kadhaa wangekupa full speed ili GB ziishe haraka.

Zote satelite ya Konnect, Adsl ya TTCL na hizi Fiber ni unlimited tena bila vikwazo, Zuku nadownload games kubwa kubwa Over GB 100, Inastream youtube na Netflix almost 24 hours per day tena Nyumba zaidi ya moja na sijaona hata siku moja wakileta Longolongo.
Mkuu hawa connect nawataka sana lakini sipati respond yao
 
Poa Mkuu.
20220127_212432_HDR.jpg

Router ni hio mkuu si kama vile vi mifi.

20220127_212455.jpg

Ina ports za kawaida za Ethernet kama unataka kutumia waya badala ya wifi
20220127_212511.jpg

Hicho ndo kibox kinacho convert.
 
View attachment 2097715
Router ni hio mkuu si kama vile vi mifi.

View attachment 2097718
Ina ports za kawaida za Ethernet kama unataka kutumia waya badala ya wifi
View attachment 2097719
Hicho ndo kibox kinacho convert.
Hicho kibox kinacho convert kinaitwa ADSL filter.

Tukija kwenye router, kuna vitu vidogovidogo vinatuchanganya kwa sisi tusiowahi kutumia wired network. Naomba tutoe kwenye alama ya mshangao kwa kutuelewesha vijiterminologies vichache vya wired network tunavyoviona kila siku.

1: Kuna router na modem, naona kama zinafanana, utofauti ni upi?
2: Landline (simu ya mezani) kwenye ADSL internet ina kazi gani kwenye ku-access internet?
3: Tueleweshe kuhusu ports za router na modem.
ADSL filters (a).png
ADSL filters (b).png
ADSL filter (c).png
 
Back
Top Bottom