Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,031
Nimekusoma. Kifurushi cha 25,000 kinatosha kabisa kwa mtu mmoja au wawili.Adsl na fiber vifaa ni vile vile ila model tofauti.
Fiber unatumia router ya kawaida ila Adsl ina router maalum na zipo router zinakubali vyote fiber na adsl.
Zote zinakuwa na box la ku convert la zuku (fiber) ni kubwa kidogo na TTCL chao kidogo, na pia nahisi ni Analog tu sijaona mechanism yoyote ndani.
Na router yap TTCL ya Adsl inatoa wifi na ethernet za kutosha unaweza tumia kwenye ofisi ama internet cafe sema cha 25000 uongo itabidi utafute kifurushi cha speed zaidi.
Na fiber ni ya Juzi juzi tu Hapa kwetu, Internet cafe zipo miaka mingi sana, wengi wanatumia Adsl na satelite Internet.
Hawa ni Konnect, wana kifurushi cha 20Mbit/s unlimited kwa mwezi kwa 60,000. Ila 60,000 kwa raia wa kawaida mambo mengi. Tunarudi palepale, 25,000.