Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu hivi wanatumia waya hizi hizi za simu zilizosambaa, kuna jirani yangu ana simu ya ttcl waya unapita juu yangu

Nipo Mkoani kwasasa
Gharama kwa mwezi ipoje na speed
Mkuu bado naitest, ila so far ni hit and miss, ila kwa 25000 silalamiki. Kipo kifurushi cha 25000 cha 4mbps, 50,000 cha 8mbps na 80,000 cha 12mbps.

Kwangu mimi nilitarget tu youtube na Netflix kwa HD. Niliweka hicho cha 25000. Speed actual ninayopata ni 2 mpaka 3 mbps sipati hio 4mbps.
 
Naunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Natamani nikufate pm ila nshapigwa sana na hizi offers
 
Aisee! Tatizo huku nilipo ofisini yupo bimkubwa yaani hajui chochote kuhusu hii. Kila nikienda lazima apige simu kuuliza. Kanitajia gharama kibao
Ndo Tatizo hilo, hapo atakuwa amekutajia huduma nyengine, kama kuna ofisi kubwa nyengine karibu waweza kwenda ukaulizia vizuri.
 
kabisa mkuu nafwatilia tatizo ttcl process mdefu mara njoo na tin number, mara kuwe na muhuri wa office process ndefu sana ndo shida yao, alaf router ya adsl umenunua wapi na bei gani mkuu
Waambie internet ya Nyumbani haina process ukisema ya ofisini ndio kuna process, vifurushi ni vile vile tu.

Router nilinunua used mkuu, 40,000 kwa mtu, za kwao wenyewe TTCL wanauza 55000, ila zimeisha.

Mtaani wamepandisha bei mpaka 125,000 sababu wanajua TTCL hawana stock.
 
Chief naomba nikuulize, hivi hiyo ADSL ndo zile nyaya zinazopita kwenye nguzo kama za umeme...!?

Na kama ndio hizo mbona mara nyingi nakuta waya zimekatika ama nguzo kuanguka, vipi huduma haitokuwa inasumbua sana?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Ndo hizo hizo mkuu. Hizo waya lakini ni kutoka Dslam kwenda kwa mteja, As long as Backbone yao ipo vizuri wewe unaletewa waya wako mpya. Pengine huo uliokatika ni wa Mteja wa Zamani sana.
 
Mkuu kwa sisi watu wa ubungo hii inatufaa
 
Inategemea na matumizi mkuu usiweke tu expectation kubwa, Adsl si fiber ama 4g. Mambo madogo madogo kama youtube na kubrowse itafanya ila sababu ya upload speed ndogo vitu kama video call sahau. Pia kuangalia mpira itategemea na website.

Screenshot_20220125-145930.png

Kifurushi cha 25000 hiko. Si mbaya kwa muono wangu kama unatumia mwenyewe ama wewe na mwenzako mmoja.
 
Inategemea na matumizi mkuu usiweke tu expectation kubwa, Adsl si fiber ama 4g. Mambo madogo madogo kama youtube na kubrowse itafanya ila sababu ya upload speed ndogo vitu kama video call sahau. Pia kuangalia mpira itategemea na website.

View attachment 2096215
Kifurushi cha 25000 hiko. Si mbaya kwa muono wangu kama unatumia mwenyewe ama wewe na mwenzako mmoja.
Mkuu, wakishakufungia ADSL kwa matumizi ya nyumbani, wanakupa vifaa vipi na vipi?
 
Mkuu, wanapokufungia ADSL kwa matumizi ya nyumbani, wanakupa vifaa vipi na vipi?
Router/modem, kunakuwa na kabox kadogo kanachoconvert ule waya wa simu kuja mfumo wa adsl na waya unaotoka kwenye box kuja kwenye router.

Kikawaida vyote hivi TTCL wanauza 55,000 lakini sasa hivi hawana stock, hivyo inabidi ununue mwenyewe.
 
Router/modem ni ndogo (Mi-Fi)? au kubwa?
Hako kabox kadogo kanako-convert waya wa simu kuwa mfumo wa ADSL kanaitwaje?, DOWANLOAD picha ya hako kabox halafu upload tukaone
 
Router/modem, kunakuwa na kabox kadogo kanachoconvert ule waya wa simu kuja mfumo wa adsl na waya unaotoka kwenye box kuja kwenye router.

Kikawaida vyote hivi TTCL wanauza 55,000 lakini sasa hivi hawana stock, hivyo inabidi ununue mwenyewe.
Fremu za internet càfes zinakuwaga na mawaya na makorokoro mengi sana, wanatumia aina gani ya internet wale?, ADSL au fiber?

Nhisi vinafaa vinakua vingi au vidogo kutokana na aina ya intaneti unayofungiwa, au matumizi, ukienda kwa wengine, home internet yao wana vifaa kibao
 
Adsl na fiber vifaa ni vile vile ila model tofauti.
Fiber unatumia router ya kawaida ila Adsl ina router maalum na zipo router zinakubali vyote fiber na adsl.

Zote zinakuwa na box la ku convert la zuku (fiber) ni kubwa kidogo na TTCL chao kidogo, na pia nahisi ni Analog tu sijaona mechanism yoyote ndani.

Na router yap TTCL ya Adsl inatoa wifi na ethernet za kutosha unaweza tumia kwenye ofisi ama internet cafe sema cha 25000 uongo itabidi utafute kifurushi cha speed zaidi.

Na fiber ni ya Juzi juzi tu Hapa kwetu, Internet cafe zipo miaka mingi sana, wengi wanatumia Adsl na satelite Internet.
 
Back
Top Bottom