the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 829
- 1,096
kwa TTCl sita shauri mtu kwa mwanzo kama hujawahi tumia net yenye kasi una weza dhania kama ina speed ila nimeitumia mitaa ya posta kuna mda ina kuwa chini mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado zipoZa kutumika muda gani?
Wana unlimited pia?Router/modem, kunakuwa na kabox kadogo kanachoconvert ule waya wa simu kuja mfumo wa adsl na waya unaotoka kwenye box kuja kwenye router.
Kikawaida vyote hivi TTCL wanauza 55,000 lakini sasa hivi hawana stock, hivyo inabidi ununue mwenyewe.
Ukishaona internet unapimiwa kwa speed ujue ni unlimited. Ingekuwa limited kwa GB kadhaa wangekupa full speed ili GB ziishe haraka.Wana unlimited pia?
Hapa mkuuHawa connect mnawapataje. Mimi nimeshindwa
TTCL pia wana Fiber, inategemea na Tech uliyotumia, Satelite ipo slow, Adsl katikati na Fiber ina speed.kwa TTCl sita shauri mtu kwa mwanzo kama hujawahi tumia net yenye kasi una weza dhania kama ina speed ila nimeitumia mitaa ya posta kuna mda ina kuwa chini mno.
Installation hiyo ya home internet cost ni bei ganiTTCL pia wana Fiber, inategemea na Tech uliyotumia, Satelite ipo slow, Adsl katikati na Fiber ina speed.
Tatizo meme niko kigamboni huku cjui hata kama ttcl wamefika nashida na iyo huduma Sana yahnUkishaona internet unapimiwa kwa speed ujue ni unlimited. Ingekuwa limited kwa GB kadhaa wangekupa full speed ili GB ziishe haraka.
Zote satelite ya Konnect, Adsl ya TTCL na hizi Fiber ni unlimited tena bila vikwazo, Zuku nadownload games kubwa kubwa Over GB 100, Inastream youtube na Netflix almost 24 hours per day tena Nyumba zaidi ya moja na sijaona hata siku moja wakileta Longolongo.
Nenda TTCL ya karibu na wewe Kaulizie. Ila kama unataka kutumia kucheza games huna ujanja ni Fiber ama mitandao ya Simu. Hizi satelite na Adsl hazifai kwa Gamers.Tatizo meme niko kigamboni huku cjui hata kama ttcl wamefika nashida na iyo huduma Sana yahn
TTCL mimi sikuchajiwa kitu, sababu walikuwa vifaa vimeisha, vifaa vilinicost hela kidogo ila sababu nilinunua used. Ila wakistock wao TTCL inakuwa 55000 jumla vifaa.Installation hiyo ya home internet cost ni bei gani
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hapana nataka kutumia kudownload game na movie tu kaka maana Nina ofisi ya hayo mambo so kama itanifaa nifatilie!Nenda TTCL ya karibu na wewe Kaulizie. Ila kama unataka kutumia kucheza games huna ujanja ni Fiber ama mitandao ya Simu. Hizi satelite na Adsl hazifai kwa Gamers.
Hapo bila bundleTTCL mimi sikuchajiwa kitu, sababu walikuwa vifaa vimeisha, vifaa vilinicost hela kidogo ila sababu nilinunua used. Ila wakistock wao TTCL inakuwa 55000 jumla vifaa.
Hata ukinunua simu haina Bundle mkuu. Hio router ya 55000 ina thamani kubwa sana, sasa hivi zinatafutwa na watu wanazipiga hadi 120,000.
Dah hapo kwenye kusahau hata video call sasa 🤦🏾♂️😄.Inategemea na matumizi mkuu usiweke tu expectation kubwa, Adsl si fiber ama 4g. Mambo madogo madogo kama youtube na kubrowse itafanya ila sababu ya upload speed ndogo vitu kama video call sahau. Pia kuangalia mpira itategemea na website.
View attachment 2096215
Kifurushi cha 25000 hiko. Si mbaya kwa muono wangu kama unatumia mwenyewe ama wewe na mwenzako mmoja.
Mimi nilikuwa na TTCL fiber mkuu, tena mwaka jana, wana speed mpaka 7mbps mda mwingine. kiufupi kwa hali ya bundle ilivyo hivi sasa kama una access na hiyo TTCL jiunge fiber yake ita kuokoa. Ila mimi nilikimbia baada ya kuonja 100mbps nikaona wao slow, ila kwa mtu asiye na kitu kabisa TTCL ni dili. Pia jaribuni Simba Net koz hawa ndio wana wauzia band width hawa wengine, na simba net wamechimba mitaro karibu eneo lote la kinondoni kulaza fiber optic cable so ni vizuri kuliza kama wamepita mtaani kwako upate huduma.TTCL pia wana Fiber, inategemea na Tech uliyotumia, Satelite ipo slow, Adsl katikati na Fiber ina speed.
Simbanet nawafahamu ila individual ku afford simbanet ni ngumu, wale jamaa wana deal na Biashara tu.Mimi nilikuwa na TTCL fiber mkuu, tena mwaka jana, wana speed mpaka 7mbps mda mwingine. kiufupi kwa hali ya bundle ilivyo hivi sasa kama una access na hiyo TTCL jiunge fiber yake ita kuokoa. Ila mimi nilikimbia baada ya kuonja 100mbps nikaona wao slow, ila kwa mtu asiye na kitu kabisa TTCL ni dili. Pia jaribuni Simba Net koz hawa ndio wana wauzia band width hawa wengine, na simba net wamechimba mitaro karibu eneo lote la kinondoni kulaza fiber optic cable so ni vizuri kuliza kama wamepita mtaani kwako upate huduma.
Kama una piga mbishe zako maeneo ya Posta, Kariakoo, Msasani hawa jamaa naona wapo sana huduma una weza pata kiurahisi.
Mkuu hawa connect nawataka sana lakini sipati respond yaoUkishaona internet unapimiwa kwa speed ujue ni unlimited. Ingekuwa limited kwa GB kadhaa wangekupa full speed ili GB ziishe haraka.
Zote satelite ya Konnect, Adsl ya TTCL na hizi Fiber ni unlimited tena bila vikwazo, Zuku nadownload games kubwa kubwa Over GB 100, Inastream youtube na Netflix almost 24 hours per day tena Nyumba zaidi ya moja na sijaona hata siku moja wakileta Longolongo.
Kuna comment nimkutext adress yao.Mkuu hawa connect nawataka sana lakini sipati respond yao
Poa Mkuu.
Hicho kibox kinacho convert kinaitwa ADSL filter.View attachment 2097715
Router ni hio mkuu si kama vile vi mifi.
View attachment 2097718
Ina ports za kawaida za Ethernet kama unataka kutumia waya badala ya wifi
View attachment 2097719
Hicho ndo kibox kinacho convert.