Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu ambao mko around maeneo ya mikocheni, mni-pm niwape free password ya WiFi ya Regency Hotel. Unaenda unakaa pale chini unazuga na hata maji madogo kumbe unashusha mzigo wa maana ukitoka umetoka na faida. Au nafanya makosa watanzania wenzangu?
 
Mambo muhimu haya
 
Nilishusha season nzima ya The K2, PUBG game tote, MC4 na kuupdate apps within kama lisaa hivi
Mzee nahtaji movie za cartoon mfano puss in boot, over the hedge, rango, panda nk. Afu mm nko mbali na maeneo ya regency hotel kama vp fanya mchakato nizipate afu nitachangia pesa ya bando

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Natazama live vita ya urusi na ukraine na FREE INTERNET.
Uwe na Tigo itapendeza zaidi
download hio app kisha igilizia hizo setting kisha connect.
haina cha hat file.
View attachment 2137413
24kb/s mbona speed ndogo sana hii, enzi za stark vpn reloaded tulikuwa tunagonga mpaka 2.16 Mb/s .
Anayejua mazaga kama hayo naomba anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…