Vipi kwa voda au halotel inakubali ?Natazama live vita ya urusi na ukraine na FREE INTERNET.
Uwe na Tigo itapendeza zaidi
download hio app kisha igilizia hizo setting kisha connect.
haina cha hat file.
View attachment 2137413
Menu ipi?10mbps speed unastream bila kugomagomaView attachment 2138072
Masaa mangapi hayo mkuu?Unapata dakika 10 tu kumbe. Nishadownload
acha uongo mkuu.Unapata dakika 10 tu kumbe. Nishadownload
Inakua free internet.haili bando ?Masaa mangapi hayo mkuu?
acha uongo mkuu.
Mi nna masaa manne kwa kuangalia tangazo moja tu
View attachment 2138102
Mkuu nimesharudi home Ila ntakulink na mzeee wa animationMzee nahtaji movie za cartoon mfano puss in boot, over the hedge, rango, panda nk. Afu mm nko mbali na maeneo ya regency hotel kama vp fanya mchakato nizipate afu nitachangia pesa ya bando
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
sasa maswali gani haya. Hili linchi lina vîjana wa hovyo sanaInakua free internet.haili bando ?
Poa, mzeeMkuu nimesharudi home Ila ntakulink na mzeee wa animation
VIVA RUSSIAsasa maswali gani haya. Hili linchi lina vîjana wa hovyo sana
Tupe [emoji821] link ya EC tunnel
Ukimaliza hizo GB unapata 10mbps?10mbps speed unastream bila kugomagomaView attachment 2138072
[emoji848][emoji848][emoji848]Setting ziko wapi
Kweli mkuu mpaka uangalie tangazo asante sana. jana nimepata masaa 19 nimekesha na YouTube [emoji119]Masaa mangapi hayo mkuu?
acha uongo mkuu.
Mi nna masaa manne kwa kuangalia tangazo moja tu
View attachment 2138102
Pamoja sana mkuu mim nina miezi minne sijawahi nunua data. Nina machimbo kibao ya free internetKweli mkuu mpaka uangalie tangazo asante sana. jana nimepata masaa 19 nimekesha na YouTube [emoji119]
Ila kuna apps kama insta kidogo ipo slow au ni kwangu tu? Mtandao unazingua.Pamoja sana mkuu mim nina miezi minne sijawahi nunua data. Nina machimbo kibao ya free internet
Dah nimeamini kweli umeitumia.Ila kuna apps kama insta kidogo ipo slow au ni kwangu tu? Mtandao unazingua.
Basi jekundu tafadhaliPamoja sana mkuu mim nina miezi minne sijawahi nunua data. Nina machimbo kibao ya free internet
Hiki ndo kile ukimaliza izo mb kabla ya mwezi unaendelea kutumia kwa speed ndogo??10mbps speed unastream bila kugomagomaView attachment 2138072
Mkuu yangu inakua inajiclose yenyewe sijui tatizo nini,Masaa mangapi hayo mkuu?
acha uongo mkuu.
Mi nna masaa manne kwa kuangalia tangazo moja tu
View attachment 2138102