Uchawi huoo... We ulitakaje?Ngoma ikivuma sana upasuka...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ina kubari mtandao gani maana halotel na voda imeni gomeaunaingia mpaka Pornhub
Tigo tu , halotel ina yake inaitwa phsphon pro hata status kuview shida unaisha kuchat wasap tu.
haha sawa mkuuTigo tu , halotel ina yake inaitwa phsphon pro hata status kuview shida unaisha kuchat wasap tu.
Vitonga.Com ilinifanya mpk nisajili laini ya Tigo sasa nafaidi matunda ya huu uzi .
Nieleweshe zaid hii ya halotelVitonga.Com ilinifanya mpk nisajili laini ya Tigo sasa nafaidi matunda ya huu uzi .
Stage ya kwanza : Download Psiphon pro app kwenye play storeNieleweshe zaid hii ya halotel
Apo no 4 naona inagomaSiasa mbaya sana
ukisha select hizo bonyeza add ujiongezee mb baada ya kuangalia matangazo.
View attachment 2165672
baada ya kubonyeza add,
vitatokea vitu hivi hapa vitatu.
hapa ndio kwenye kitovu cha hii app maana ndio tunapatia hadi gb 40.
View attachment 2165673
Twende pole pole
1. 20-100mb... hiki ni kipengele cha daily check in na hubonyezwa mara 1 tu kwa siku. Wanatoa mb 50, 75 na kuendelea kadri unavyoingia kila siku
2. 25-100mb. Hapa napo pabonyeze utazame matangazo utapewa mb kibao tazama kadri uwezavyo
3.. 50mb. Hapa wanakupa mb 50 mara 15. Tazama video za matangazo mara 15 na utapata mb 750.
(Jichotee zote hizo utaona zinaongezeka juu pale)
4.. Kupata hadi 1gb mpaka ualike mtu na adownload hio na kuinstall unapata 1gb kwa kila mjuba utakaemualika na kudownload
[emoji12] tupo wengii mkuuVitonga.Com ilinifanya mpk nisajili laini ya Tigo sasa nafaidi matunda ya huu uzi .
Mimi sasa hivi nimepewa Gb 1 nimeshare kwa mdau mmoja kainstallApo no 4 naona inagoma
Nimeshare kwa wajuba wawili na wamedowload na kuinstall napo hazijaja
Sawa bossMimi sasa hivi nimepewa Gb 1 nimeshare kwa mdau mmoja kainstall
Ulishare kwa njia ipi mkuuMimi sasa hivi nimepewa Gb 1 nimeshare kwa mdau mmoja kainstall
ThanksStage ya kwanza : Download Psiphon pro app kwenye play store
2 : Server Weka belgium ina kuna wadau wanasema Japan wapo vzuriView attachment 2165725
Nb:Spidi ya kobe wkt mwingine inastop Mimi nilikuwa natumia kwa wasap tu ili nisipitwe na mambo muhimu nikiwa sina bando
Kuna watu wanaijulia baadhi ya setting zake nyingine ambazo ni bora na wanakimbiza mpk insta na YouTube.
Kwa kutumia wasap ,zanilibonyeza walipoandika add kwenye Sky app then nikaclick kwenye invite nikachagua kupitia wasap mdau aka insta nikapata maunyama km hayoUlishare kwa njia ipi mkuu
Mmi nilishare kwa kitumia whatsup
Sawa mkuuKwa kutumia wasap ,zanilibonyeza walipoandika add kwenye Sky app then nikaclick kwenye invite nikachagua kupitia wasap mdau aka insta nikapata maunyama km hayoView attachment 2165784
Mkuu nisiwe mchoyo wa fadhira ahsante Sana mpaka sasa nakoment hapa natumi mb za Skyvpn
Duuh usijari mkuu tuko P1 naweweWatu mnalamba hadi gb 40 kimya kimya na hamtoi sadaka[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2165599
Ni lain gan inakubali bossNaishi sana humu
View attachment 2165990