Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,914
- 2,630
Kwa hiyo tufanyeje?Utaonwa mchawi tu hapa hawajui kama hii kitu ni illegal na inapaswa kufanyika kwa uficho.
Zama zile tulijificha JF store ikabuma ikaja kipindi cha kuangalia ID pia ikabuma seuze kipindi hiki watu wanatoa medani za kivita wazi wazi, tigo wapo humu na tayari team inafanyia kazi hii kitu so itabuma soon kama Airtel walivyoblock zile host.
Kitu imezagaa kwenye social media mpaka wengine wanapost kwenye page za tigo wakijiona ni Hacker wakati ni newbie