F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Nawezaje kubadilisha muda wa maongezi ambao tayari nimejiunga kuwa bando la internet?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hv habar ya mjin ni Bitvpn[emoji3][emoji3][emoji3] siku ya pili nateleza tuTuendelee kupambana na Sky vpn.
kama unaitumia hii una uhakika wa kupata hadi Gb 1 kwa siku 1.
Pambana na hivi vipengele ujiongezee mb za kutoshaView attachment 2163700
kwenye daily check in unapata mb za kutosha
hapo kwenye 15 left today bonyeza tazama ads mara 15 unapata mb 750
kwenye 1024mb alika mtu mmoja mpaka ishirini. Hakikisha wamedownload unapata 1gb
kazi ni kwenu
ENDELEA KUTELEZA MKUU.Sasa hv habar ya mjin ni Bitvpn[emoji3][emoji3][emoji3] siku ya pili nateleza tu
Na mm ndio nme share hvo uki download una washa tu vpn unatelezaENDELEA KUTELEZA MKUU.
SISI TUNASHEA NA WANA TUNA ENJOY PAMOJA
Mkuu kama hujawa huru kutoa kitu cha kunufaisha watu ni vyema ukakaa kimyaNa mm ndio nme share hvo uki download una washa tu vpn unateleza
Kama ni bure toa maelekezo hapa hapaKama unataka file la TTCL 06:00-9:00 am ni la kudumu HA tunnel njoo pm ni bure
Inapendeza wasambazie upendo wadau wa Ttcl wajoin kwenye chain ya #VitongaKama unataka file la TTCL 06:00-9:00 am ni la kudumu HA tunnel njoo pm ni bure
BUREKama ni bure toa maelekezo hapa hapa
Hii kwangu inadisconnect kila mara
Unataka kusemaje?Watu mna expose sana hizi mambo tigo wakiziba loophole vpn zote hizo chali maana zinatumia protocol method moja.
Mwendo wa kimya kimya maana hizi mambo zilikuwa bomba sana enzi za UDP port.Unataka kusemaje?
Utaonwa mchawi tu hapa hawajui kama hii kitu ni illegal na inapaswa kufanyika kwa uficho.Mwendo wa kimya kimya maana hizi mambo zilikuwa bomba sana enzi za UDP port.
Expose kama hivi ikagharimu watu