Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Tuendelee kupambana na Sky vpn.

kama unaitumia hii una uhakika wa kupata hadi Gb 1 kwa siku 1.

Pambana na hivi vipengele ujiongezee mb za kutosha
IMG-20220325-WA0003.jpg


kwenye daily check in unapata mb za kutosha

hapo kwenye 15 left today bonyeza tazama ads mara 15 unapata mb 750

kwenye 1024mb alika mtu mmoja mpaka ishirini. Hakikisha wamedownload unapata 1gb

kazi ni kwenu
 
Ujanja ujanja tu hapa🙏

wale mnaopata tabu kujiunga na SKY VPN.

FANYENI HIVI.......

Washa Ec tunnel pro (hii inajulikana tayari)

ikishawaka ndio uje kuwasha Sky vpn

sky ikishajiunga tu njoo zima EC TUNNEL PRO

MAAJABU YA MUSA

Sadaka sijapata hata kumi mbovu dadek wabongo NUKSI😅😅😅
 
Tuendelee kupambana na Sky vpn.

kama unaitumia hii una uhakika wa kupata hadi Gb 1 kwa siku 1.

Pambana na hivi vipengele ujiongezee mb za kutoshaView attachment 2163700

kwenye daily check in unapata mb za kutosha

hapo kwenye 15 left today bonyeza tazama ads mara 15 unapata mb 750

kwenye 1024mb alika mtu mmoja mpaka ishirini. Hakikisha wamedownload unapata 1gb

kazi ni kwenu
Sasa hv habar ya mjin ni Bitvpn[emoji3][emoji3][emoji3] siku ya pili nateleza tu
 
Na mm ndio nme share hvo uki download una washa tu vpn unateleza
Mkuu kama hujawa huru kutoa kitu cha kunufaisha watu ni vyema ukakaa kimya

Unaacha maswali mengi sana kwa watakaopendelea hio vpn.


Toa maelekezo yakinifu, namna ya ku download (kama ipo p.store ama haipo) na namna sahihi ya kufanya settings na connection.
 
Mwendo wa kimya kimya maana hizi mambo zilikuwa bomba sana enzi za UDP port.
Expose kama hivi ikagharimu watu
Utaonwa mchawi tu hapa hawajui kama hii kitu ni illegal na inapaswa kufanyika kwa uficho.
Zama zile tulijificha JF store ikabuma ikaja kipindi cha kuangalia ID pia ikabuma seuze kipindi hiki watu wanatoa medani za kivita wazi wazi, tigo wapo humu na tayari team inafanyia kazi hii kitu so itabuma soon kama Airtel walivyoblock zile host.
Kitu imezagaa kwenye social media mpaka wengine wanapost kwenye page za tigo wakijiona ni Hacker wakati ni newbie
 
Back
Top Bottom