Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Mkuu Kila nikitesti hollaa chaajabu hata video za kuongeza mb wamezifuta pia wameniondolea kipengere cha invite.Ume test Tena?
Badili server mwenyewe jioni hapa ilikua inaandika hivyo nikaweka server ya france ndo imekubali.Mkuu Kila nikitesti hollaa chaajabu hata video za kuongeza mb wamezifuta pia wameniondolea kipengere cha invite.View attachment 2168500View attachment 2168501
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hicho kipengele Cha invite wamekitoa Kwa Kila mtu,Jaribu kubadili nchi uweke hata UK au germanMkuu Kila nikitesti hollaa chaajabu hata video za kuongeza mb wamezifuta pia wameniondolea kipengere cha invite.View attachment 2168500View attachment 2168501
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Scoob102 Hii App naona Iko vizuri tena inapeta tu.. setting zake inafanana sana na SkyVpn Ila hii sijui Haina limit.. naona kama nimepewa mb 500 haziishi natumia tu
Imekubari mkuu baada ya kuweka FranceUme test Tena?
Imekubali ila ningejua tokea jana nisingeangaika.Badili server mwenyewe jioni hapa ilikua inaandika hivyo nikaweka server ya france ndo imekubali.
Kunani huko tupe updates ?KISHANUKISHWA HUKO,
WATU MKIAMBIWA MCHEZE BILA KUKUNJA GOTI HAMUELEWI HAYA SASA MRUDI SLOW DNS AU KUVIZIA CHA ASUBUHI
TIGO MAMESHAFANYA YAOKunani huko tupe updates ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watanzania sie nduguWakuu ambao mko around maeneo ya mikocheni, mni-pm niwape free password ya WiFi ya Regency Hotel. Unaenda unakaa pale chini unazuga na hata maji madogo kumbe unashusha mzigo wa maana ukitoka umetoka na faida. Au nafanya makosa watanzania wenzangu?
Hello Fellas.
Bila shaka mko salama kabisa.
naona leo chaka letu pendwa limefanyiwa figisu na limeangushwa.
kwa mnaopata access jitahidini mmalize Mb/Gb zenu.
kuna wadau humu waliumia sana kuona nime share skyvpn na wakadai ningetumia kimya kimya.😒😒😒shame on you
Na nyie ndo mmesababisha sadaka zimekosa😅😅😅😂😂😂
Narudi kwa Developer uchwara tuwekana sawa nini kinaendelea.
Tupendane jamani watanzania tumekuwa manyang'au. Tunanyimana na kuzibiana riziki hadi za BURE!
ALL IN ALL NIMEFULIA SANA WADAU. Mwenye buku mwenye buku 5 asisite kunitoa juu ya mawe.
siku mbaya sana leo.
nipo watsap 0744033555. unaweza kutoa sadaka kwa Hio namba litakuja jina la Kikurya Pure😃😃😃
Ni kweli usemalo.Issue sio wadau kuumia issue ni nidhamu unapopata chochote even pesa. Miongoni wa watu walioelekezwa huo mchongo walikuwa wanapost shit mpaka kwenye page za tigo wanawatambia, niliwaonea huruma ukizingatia ni illegal kutumia VPN hapa Tanzania tena fb kudakwa ni dakika mbili.
Kiukweli watanzania tujifunze nidhamu hata kidogo.
Mkuu, Ile Ec Tunnel Pro bado inafanya kazi..?Waambieni waambieni💣💣💣
Data zao, zinaliwa✨✨🎊🎊🎊
View attachment 2168911
Tigo labda mfunge line yangu...
tofauti na hapo sina cha kuwahurumia
mmebana sky vpn mkajua mmeniweza
Inapiga kazi kama kawa!!!Mkuu, Ile Ec Tunnel Pro bado inafanya kazi..?
Mkuu kusema kweli nikiipata ntakaa kimya😃😃Fanyeni kautafuti basi.. line ipi nyingine itakublai badala ya tigo kwenye SkyVpn
Si nimesema inapiga kazi mkuu? au hujaelewa wapi?Hiyo yenyewe haijafungiwa mkuu
Ile nayo c inatumia tigo tu.. na tigo wadhamindInapiga kazi kama kawa!!!
endelea kuenjoy mkuu