Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Jamani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8].thanks a lot aloleta hii kitu.
Nipo nainjoy tu kwa kweli.barikiwa sana.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].
I wish nije nikupe soda
 
Sasa mbn mm inagoma mpk niwashe data?
 
Fanyeni kautafuti basi.. line ipi nyingine itakublai badala ya tigo kwenye SkyVpn
Mkuu hii skyvpn wakishakupa hizo mb zen una switch off your data au unaacha on? Na ukiacha On data zako haziendi? Mana mm pia wamenipa mb kama 200 hv lkn niki switch off my data haifanyi kazi, naomba muongozo wa jinsi ya kutumia hii app.
 
WAHUNI WAMEWAPA TIGO TAARIFA KUWA WANAIBIWA.

TIGO WAMETUBANIA SKY YENU.
 
Mkuu soma pole pole nilichikwandikia utanielewa
Mkuu naomba unieleweshe vzr ili namimi nipate kuuona ufalme, ni kwamba tayari nme download Ec tunnel na skyvpn, kwenye Ec tunnel nimepewa masaa 4 na kwenye skyvpn nmepewa 250mb ss naomba nieleweshe taratibu mkuu.
 
Kwa sasa achana na sky vpn maana wakuda wameshachoma utambi, tigo wameibana.

lets get back to ec tunnel pro.

unapaswa kuwasha data LINE ISIYO NA MB HATA MOJA.

LINE YA TIGO TU

acha data on, kisha nenda washa ec tunnel pro. Ikiwaka kutoka red kwenda green, utaona inaanza kuhesabu na ka alama ka funguo kanakuja juu. Hapo mambo fresh unaingi mtandaoni unapeta.

add time usiruhusu kubakiza muda.mdogo..

pia ukimaliza, zima Data na Zima Ec tunnel pro.

usipozima ec tunnel, muda utaisha bila matumizi.

Ukiwa na shida zaidi, watsap me 0744033555.

Feel Free uje hata bila sadaka🙏🙏
 
Nmekusoma mkuu, leo nanunua line ya tigo kwa ajili ya mauaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona ec tunnel wameiacha tu.

sky iliwamaliza in a short time.
Wamepiga pini protocol ya Fast Dns ila hiyo Slow Dns haina madhara kwao wameiacha coz hawawezi ifunga kabisa DNS/TCP port coz inatumika kwa mambo yao.
So Hizo utopolo EC, Utloop,Technoragos,wiretun etc zinapiga mzigo kama kawa speed ya kinyonga kama siyo konokono
 
Cc@TigoTanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…