Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu


Nime deposit kama security lakini sioni MB. Nini kingine napaswa kufanya?

 
Mtafanya nianze kutafuta lain yang ya tigo sasa
 
Tofauti ya 20LTE na 30LTE ni nin
 
Ahsante
 
Mkuu hiyo huduma inapatikana ofisi/kwenye maduka ya Tigo,unapewa mkataba unasaini then wanakuunga ndo unalipia. Nenda Dukani kwao ukawaeleze kabla hela yako haijaenda bure. Haulipii tu moja Kwa moja kwenye simu
Tayari ninatumia huduma. Pia pesa ilikuwa inasoma kwenye account hivyo haikupotea. Thanks kwa msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…