HTatizo hii ina timeout hata dakika 5 hazifiki unakuta internet imekataWale wa AIRTEL. Nenda stark vpn weka setting kama unavyoona hapo.
washa data washa stark vpn kisha enjoy free data
ukija PM utalipia 500π π π
View attachment 2397392
Hata Ha tunnel inakuwa hivyo hivyo ila bado niko na happy hourHTatizo hii ina timeout hata dakika 5 hazifiki unakuta internet imekata
Hahahaa so iki disconnect unarudi tena kui connect tena?Hata Ha tunnel inakuwa hivyo hivyo ila bado niko na happy hourView attachment 2407284
hapana Ha tunnel ikiji disconnect tu inakaa sekunde tano inajiunga yenyewe. Labda kuwa na matatizo ya networkHahahaa so iki disconnect unarudi tena kui connect tena?
Makampuni ya simu na gharama zao za vifurushi wamefanya tuone process hiyo sio jambo linalo poteza muda
Nilikuwa naizungumzia hiyo starkhapana Ha tunnel ikiji disconnect tu inakaa sekunde tano inajiunga yenyewe. Labda kuwa na matatizo ya network
nina wiki 3 nakula bata na airtel
View attachment 2407295
Kama kwenye nyumba mpo watu watatu au wanne mnachanga mnalipa inakua nafuu Sana ukilinganisha na bundles za kupimiwaTatizo bei yao imesimama yani kama kwa matumizi ya ofisini somehow inaweza kuwa nafuu ila kwa matumizi ya kawaida tu walau wangefanya 70k
Nikikumbuka mwaka mmoja na Nusu uliopita Halotel nilikua najiunga Bando la 7GB/wiki Kwa Buku5 halafu Leo 4GB buku10 naishiwa nguvuHalotel ndio bado hawajashusha bundle lao la wiki
Ni 2000 kwa GB 1
Lkn mitandao wengine wote wameshusha zimebakia mb 800 na 850
Wapuuzi hawaNikikumbuka mwaka mmoja na Nusu uliopita Halotel nilikua najiunga Bando la 7GB/wiki Kwa Buku5 halafu Leo 4GB buku10 naishiwa nguvu
Na nilinunua kbs ya elf 2 nijiungeHii comment ndio iliyo washtua
Sometimes kwangu inazingua sanahapana Ha tunnel ikiji disconnect tu inakaa sekunde tano inajiunga yenyewe. Labda kuwa na matatizo ya network
nina wiki 3 nakula bata na airtel
View attachment 2407295
Mtandao upi mwingine?Na nilinunua kbs ya elf 2 nijiunge
Sasa narudi dukani kubadilisha nachukua mtandao mwingine
Wapuuzi sana
Halotel mwezi uliopita kulikuwa na free ISP kupitia psiphon lakini now wamestukaSometimes kwangu inazingua sana
Nakaa siku nzima imegoma
Hivi halotel hamna vpn inayorahisisha maisha?
Ingekuwa Vat ya 41000 ni 1600 tungetajirika mbona wafanyabiashara.
Hio ni Oligopoly bei wanapangiwa, wangekuwa wanapanga wenyewe tungefaidiWapuuzi hawa
Huwa wanaigana kutubana
Nasubiri mtu aki ungwa huku atujuze
Bora hii aiseeMtandao upi mwingine?
Kote siku hizi mambo ni hayo hayo labda utofauti wake ni mdogo sana
Airtel wanakupa 985MB kwa siku 3 au kama vipi ukitaka cha wiki unapewa 950MB
Yeah nilitumiaHalotel mwezi uliopita kulikuwa na free ISP kupitia psiphon lakini now wamestuka