Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hiyo huduma ni PREPAID kama huwezi usiende kabisa kusumbua.

Click [emoji116]
 
Hapa umemuunga nani?
 
Mchekini huyo jamaa

Ila ni prepaid link [emoji117] welcome


View attachment 2408330
Naleta mrejesho..

Sijasema ni tapeli ila naona kuna dalili sio nzuri kwenye uchunguzi wangu.

Huyu ndugu yetu yuko na account uko insta inaitwa offer.bundle.tz

Kwenye hii account kuna post yake ya juzi,
Ikionesha kuna good reviews zaidi ya kumi na zote ni nzuri,wanampongeza.

Ila ikiingia kwenye account za hao wateja wake,
Unakuta followers 0, mwingine ana wa5,mwingine ana 20 na huyo ndio mwenye wengi..

Kwenye hio post hakuna hata mmoja anayeuliza taratibu za kuungwa,wote ni kushukuru na kusifia na kuomba kuongezwa.


Post yake ya mwisho,nimeona ni dada mmoja tu akiuliza kifurushi cha GB 90 ni bei gani? Na kaomba aunganishwe.
Huyu dada pekee ndie mwenye followers wengi.Huyu peke yake ndio mwenye account sahihi...

Hizo zingine zina walakini.

Mwenye masikio na asikie.

When a deal is too good............
 
Hapa kuna watakaopigwa soon
 
huyu jamaa ni scammer narudia tena mwenye masikio na asikie ambaye hana akaazime hata kwa jirani...
 
Hiyo line ya mwisho ndo alipofeli, {Tunahack calls na sms }
 
Ngoja nikusaidie mkuu na Wana jf hii post iwasaidie huyu jamaa ni TAPELI mkubwa mm nimefwamtilia in deep (kwa undani) na haungi vifurushi ngooo zaidi mtapigwa tu hela


Nlishawai kujaribu kumwambia aniunge kifurushi swaga yake kubwa KWANZA umtumie hela then akuunge nilituma kiasi kadhaa ( nikaingia cha kike) ni uongo ata ukituma hela KWANZA hatopatikana na kama mlichat chat anazifuta kupoteza ushahidi

Mwisho:Epukeni matapeli kama hawa tuwaripoti kupitia namba 15040

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…