Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Fiber Mkuu.. Ukiipiga na ethernet upload inapeak almost 1Gbps
20220920_125125.jpg
 
Sijasikia Fiber ya Voda, una information zaidi? Ama ni classified
Juz Kati walipita huku kigamboni kwetu wakawa wanaitaji baathi ya information zetu kuhusu mabando nilipowauliza wakasema wanapitisha fibe so kuna baath ya sehemu tayali wameshaanza kuweka Ila naona BEI zao bado ZIKO juu
 
Fiber ni kitu cha kushea mkuu, 250k kwa 200mbps mkichanga watu 5 hapo ni 40mbps, unaachana na mambo ya HD wewe ni 4k tu.
 
Back
Top Bottom