DEICHMANN
Senior Member
- Sep 19, 2022
- 157
- 123
Nisaidie kupata GB za bure za Vodacom Tigo na Airtel.Mnaendeleaje na hizi bando wakuu? [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie kupata GB za bure za Vodacom Tigo na Airtel.Mnaendeleaje na hizi bando wakuu? [emoji2]
Kama unajiweza Tigo GB 40 kwa 50,000 ukinunua wireless router,Mnaendeleaje na hizi bando wakuu? [emoji2]
Huyo jamaa hakuwa tapeli Ila vile vifurushi walikuja wakaziblock Ndyo changamoto ilipotekea, but jamaa ni mwelewa SanaPrepaid.
Noo sisahau machungu aliyonipa huyu mwamba @mr kiuno
Kapiga pesa afu kifurushi hakijamaliza hata mwezi na pesa kagoma kurudisha.
Mimi aliniunga nikaa nacho mwaka na miez kadhaa ndo zikaja kutolewa.Huyo jamaa hakuwa tapeli Ila vile vifurushi walikuja wakaziblock Ndyo changamoto ilipotekea, but jamaa ni mwelewa Sana
Ni kisanga hicho[emoji23][emoji23][emoji23], GB 4 kwa dakika kadhaa.Aiseeee
Hapo unaona very clear mpaka sisimizi unawaona waleeee wanapita[emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Epsidode ya dk 50 inapakuliwa kwa 4gb...[emoji3][emoji3]
Hongera mzee ,acha sisi wengine tupambane na kina Netnaija
duh!
kila mtu anapenda bigger download speed.Worth the money kabisa. Yani hauzingui hata kidogo. Haidisappoint na uzuri ni Postpaid unaweza vuta mpaka siku 50 ndo ulipie pasipo kukata hudumaView attachment 2416194
Hao wa insta wengi matapeli. Ukishamtumia ela anakublock hlf anabadili jina analotumia Insta.Kuna huyu yupo insta, wakuu kuna ukweli hapa? Au watu wajitolee alafu walete mrejesho anasema yupo zenji.View attachment 2416090
Tigo wana band 2, 1800 ambayo inapatikana katikati ya majiji na 800 ambayo inapatikana nchi nzima.Naona Tigo wameimprove mno. Sasa hv wanatoa true 4GView attachment 2418130
Kama unajiweza Tigo GB 40 kwa 50,000 ukinunua wireless router,
hio 50,000 ndio bei ya router, gb 40 bureWireless router wanauzaje?
Bei nzuri,shida hapo labda iwe gb 40 kuisha ndani ya wiki kwa matumizi ya kawaidahio 50,000 ndio bei ya router, gb 40 bure
Voda
Hapo logic ni kununua router unamaliza GB unauza router unanunua nyengine. Sijaifatilia hio router kama inatoka lock kirahisi.Bei nzuri,shida hapo labda iwe gb 40 kuisha ndani ya wiki kwa matumizi ya kawaida