Huyo HA Tunnel inakubali Airtel tu, au na mitandao mingine?Wale wa AIRTEL. HAIHITAJI HAT FILE wala nini...
weka settings kama unavyoona hapo
nimeserereka nayo mda mrefu sana
kuna wakati inajikata lakini baadae inarudi.
View attachment 2535472
Miaka yote airtel amekuwa mke mwema sana kwetu watumiaji wa Ha tunnel jumlisha. Mitandao mingine imetukataaHuyo HA Tunnel inakubali Airtel tu, au na mitandao mingine?
piga/whatsapp: 0710535327Naomba kuunganishwa wapendwa
Naomba namba ya mmoja unayenfahamu, gb 1 kwa 1000.Siku hizi Kuna jamaa wengi TU wanauza gb1 kwa buku tigo.
Tena wanakuunga hapo hapo.
Tupe nambaSiku hizi Kuna jamaa wengi TU wanauza gb1 kwa buku tigo.
Tena wanakuunga hapo hapo.
Naomba Namba zakeSiku hizi Kuna jamaa wengi TU wanauza gb1 kwa buku tigo.
Tena wanakuunga hapo hapo.
Vitu vingine vinachekesha😂Siku hizi Kuna jamaa wengi TU wanauza gb1 kwa buku tigo.
Tena wanakuunga hapo hapo.
Ulitaka umaarufuSiku hizi Kuna jamaa wengi TU wanauza gb1 kwa buku tigo.
Tena wanakuunga hapo hapo.
Mimi ninaye wa Tigo 1Gb kwa buku jero ukinunua 10 anauza 1400 kwa kila Gb.Naomba Namba zake
MmmnhMimi ninaye wa Tigo 1Gb kwa buku jero ukinunua 10 anauza 1400 kwa kila Gb.
Ukireport haisaidii chochote maana ndo nilichofanya
Hivi hii unawwza download kituuuWale wa AIRTEL. HAIHITAJI HAT FILE wala nini...
weka settings kama unavyoona hapo
nimeserereka nayo mda mrefu sana
kuna wakati inajikata lakini baadae inarudi.
View attachment 2535472
[emoji2][emoji2][emoji2]Ulitaka umaarufu