Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hizi bando sijui kama ni za mazabe au vipi ila najua wengi wakijiunga deal huwa linabumbuluka mwisho linasanuka kama kipindi cha akina Mr. Kiuno na waungaji wenzake deal ilisanuka mabando yakakata
 
Upo sahihi kabsaa Mr kiuno aliuniunga lakin baadaye ilipotea tu nikamchek akaniambia mambo magumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hizi bando sijui kama ni za mazabe au vipi ila najua wengi wakijiunga deal huwa linabumbuluka mwisho linasanuka kama kipindi cha akina Mr. Kiuno na waungaji wenzake deal ilisanuka mabando yakakata
Kuwa na amani mkuu,huduma hii wanatoa wao wenyewe tigo.Sio mtu binafsi,hata mfumonwa ulipiaji unalipia tigo wao wenyewe.piga 100 uulize tigo kuhusu hiyo kitu.
 
Ulichokitafuta umekipata sasa...tuliwaonya kuleni kimya kimya hamsikii haya washa block host....huku sio kwa kuleta tricks za internet .kitonga kweshney[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Acha tu Kaka, wamefungia host ***** Niko nahangaika tu na termux hapa kujaribu working hosts
 
Hizi bando sijui kama ni za mazabe au vipi ila najua wengi wakijiunga deal huwa linabumbuluka mwisho linasanuka kama kipindi cha akina Mr. Kiuno na waungaji wenzake deal ilisanuka mabando yakakata
Sina hakika kama nimekuelewa ila kama nilichoelewa ndicho ulichomaanisha ni kwamba hii huduma wanaunganisha tigo wenyewe. Hata malipo unatuma tigo
 
Kwa vifurushi vya huyo jamaa hapo juu
Sina hakika kama nimekuelewa ila kama nilichoelewa ndicho ulichomaanisha ni kwamba hii huduma wanaunganisha tigo wenyewe. Hata malipo unatuma tigo
kwa hizi SME au post paid hazina shida but zile bundle zinazoendana na wewe kununua simu then ikawa hujanunua simu kwa hiyo hamna link kati ya imei no. ya simu mpya na line yako ila umeunganishwa kimazabe as if ulinunua simu mpya hizi at any time huwa zinapotezwa na makampuni ya simu. Kwa kifupi bundle zozote ambazo unakuwa umeunganishwa ilhali mteja hakuwa na hiyo sifa hizo huwa zinakuwa blocked after sometime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…