Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sawa naomba uniletee watu wengine wanaohitaji huduma hii cause wewe umeshaona uhakika wake
Yaap nitakuletea wadau ata usijali,, wadau wapo wengi tuuu, hata hapa jukwaani wapo ni vile walikuwa wanaogopa kupigwa, ila huduma ipo inahitaji uvumilivu kwenye mda, mm nimeipata karibia week mbili naa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nipo MOROGORO please naomba kujua kama ipo na Kwa bajeti ya kia's gañ?
20230207_140917.jpg

?
 
Back
Top Bottom