gachacha
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,584
- 3,977
Yaap nitakuletea wadau ata usijali,, wadau wapo wengi tuuu, hata hapa jukwaani wapo ni vile walikuwa wanaogopa kupigwa, ila huduma ipo inahitaji uvumilivu kwenye mda, mm nimeipata karibia week mbili naaSawa naomba uniletee watu wengine wanaohitaji huduma hii cause wewe umeshaona uhakika wake
Sent using Jamii Forums mobile app