Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hiv SME kwa sasa inapatikana!?
Menu tunawezesha kwa 10000 tu.. Karibuni..
IMG-20230705-WA0083.jpg
 
Anaehitaji lipa namba ya Airtel money nakuunga ndani ya dk 1 kwa gharama ya 3000 tu malipo baada ya kazi ..Faida ukiwa na lipa namba ni kwamba unatoa pesa bila makato ya aina yoyote yale yaani free kabisa..slide my inbox [emoji392] for more information
20230705_110355.jpg
 
Wakuu hivi hii ni huduma gani, kuna jamaa niliona anatumia mtandao wa tigo na anapata GB 50 kwa mwezi kwa malipo ya 35000 Tu

Nilikuwa sina laini, ikabidi namie nisajili laini ya tigo na kuwasiliana na Mwamba akanifanyia makeke nikamtumia hela yake 35k nikapata 50 GB zangu saafi

ila shida inakuja kuwa, ukimaliza kutumia hizo GB 50 zako huwezi tena kujiunga kwa kutumia the same laini, inakubidi ubadirishe tena laini

Kwakuwa nilikuwa nimenogewa, nikamcheki tena Mwamba akaniagizia laini yake mwenyewe in short nishatumia 3 months consecutive

Sasa japokuwa naenjoy kupata 50 GB Kwa 35k, ila karaha yake ni hiyo kila ukitaka kuongeza mzigo basi ubadirishe laini, sasa ningependa kujua hii ni Aina gani ya huduma kutoka tigo Kwa wanaoifahamu
 
Mawasiliano yake mkuu

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
HUDUMA ZITOLEWAZO NI;

[emoji842]LIPA KWA MPESA[emoji736] 10,000

[emoji842]LIPA KWA AIRTEL MONEY [emoji736] 3000

[emoji842]AIRTEL MONEY WAKALA[emoji736] 15,000

[emoji842]TIN NO APPLICATION[emoji736] 5000

WASILIANA NASI WHATSAPP 0764982136/0782590003
20230711_141719.jpg
 
UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)

Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921

JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe !
 
UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO[emoji845]
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)

Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921

JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
[emoji3591]Kisha chagua no4
[emoji3591]Kisha chagua no 2 (kupata majina)
[emoji3591]Kisha chagua no 6 (tigo business)
[emoji3591]Kisha chagua no 2 (security deposit)
[emoji3591]Kisha chagua no1
[emoji3591]Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
[emoji3591]Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
[emoji3591]Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe !
After kukamilisha hizo hatua huwa unatumia siku ngapi kumuunganisha mtu na kuanza kupata huduma? Au hadi mtu asubiri hiyo tarehe moja.
 
HUDUMA ZITOLEWAZO NI;

[emoji842]LIPA KWA MPESA[emoji736] 10,000

[emoji842]LIPA KWA AIRTEL MONEY [emoji736] 3000

[emoji842]AIRTEL MONEY WAKALA[emoji736] 15,000

[emoji842]SME ACTIVATION [emoji736] 10,000

[emoji842]HALOPESA WAKALA[emoji736] 15,000

[emoji842] SELCOM [emoji736]25,000

[emoji842]TIN NO APPLICATION[emoji736] 5000

WASILIANA NASI WHATSAPP 0764982136/0782590003
20230711_231722.jpg
 
Wakuu hivi hii ni huduma gani, kuna jamaa niliona anatumia mtandao wa tigo na anapata GB 50 kwa mwezi kwa malipo ya 35000 Tu

Nilikuwa sina laini, ikabidi namie nisajili laini ya tigo na kuwasiliana na Mwamba akanifanyia makeke nikamtumia hela yake 35k nikapata 50 GB zangu saafi

ila shida inakuja kuwa, ukimaliza kutumia hizo GB 50 zako huwezi tena kujiunga kwa kutumia the same laini, inakubidi ubadirishe tena laini

Kwakuwa nilikuwa nimenogewa, nikamcheki tena Mwamba akaniagizia laini yake mwenyewe in short nishatumia 3 months consecutive

Sasa japokuwa naenjoy kupata 50 GB Kwa 35k, ila karaha yake ni hiyo kila ukitaka kuongeza mzigo basi ubadirishe laini, sasa ningependa kujua hii ni Aina gani ya huduma kutoka tigo Kwa wanaoifahamu
Umetangaza vizuri [emoji1]
 
Umetangaza vizuri [emoji1]
Sio kweli mkuu, soma comment namba 6649, kuna jamaa kaniomba mawasiliano ya jamaa ila nimechomoa kwa sababu halikuwa lengo kutangaza ila pia sitaki kumwanika Mwamba

Me nataka kujua kama kuna mtu anajua hicho ni Aina gani ya kifurushi, ili nione kama kuna uwezekano wa kuendelea kutumia au niache kutokana na kubadiri laini kila mwezi
 
Back
Top Bottom